Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Anaropoka na kujidai mjuaji, watu tunabeba mpaka m 100 kupeleka bank yeye anashangaa m 40! Ujuaji ukizidi unabadilika kuwa upumbavu!
Yeye nadhani alishangaa kutumwa Ile 40M kwa yule dada. Wakati yule dada angeweza kumuwekea Ally mpemba direct kwa bank account Yake pia.

Ila ishu kubwa nadhani Ni Ile jamaa alishakubaliwa ama kuaminiwa ama kupendwa na Ally mpemba. So huwa Ile roho ikishatokea huwa hakuna ku doubt mtu unakuta umeshajiandaa kwa lolote.

Kama wabebao wake waliokutana nao mjini hata mtu hujui Koo yao unao badala ya kufanyia twisheni halafu necta kwenu.
 
Back
Top Bottom