Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunga yako kisha zingatia common sense! Mbona simple tuSio ujuaji.Ni muhimu utunzi wa fiction story ukazingatia common sense
Hujawai kutumwa kuchukua hela ya mtu na kuipeleka bank? Mbona ni jambo la kawaida kwa wafanyabiashara wengi kulipiana pesa cash nyumbani na vijana waaminifu ndo hufanyaga hii kaziNaomba kila msukule abaki na imani yake,hii story kama UMUGHAKA kaitunga au kaitungua pahali atakuwa anajua mwenyewe
Kuna kasehemu hapo eti UMUGHAKA alipewa pesa million 40 apeleke bank sijuhi kulikuwa na umuhimu gani wa yeye ndio aipeleke bank wakati Ally Mpemba angeweza tu kutuma mamba za acc kwa yule dada pesa ikawekwa bila kuirisk mikononi mwa umukurya
Hujawai kutumwa kuchukua hela ya mtu na kuipeleka bank? Mbona ni jambo la kawaida kwa wafanyabiashara wengi kulipiana pesa cash nyumbani na vijana waaminifu ndo hufanyaga hii kazi
Hapa chakufanya ni kumfuata physically then nampa hela ya hesabu ya kutwa nzima siku hiyo. halafu namwambia tukae hapa unisimulie hadithi yote.[emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23] ndo lingewahi nifikisha maana muda huo sidhani kama miguu ingeweza timiza hitaji la mbio nilizo dhamilia, na nisinge sahau kuwasha AC [emoji23]Ahahahaha, ukimbie na gari ya watu tena ya hela ya majini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Happy new year...!Tunga yako kisha zingatia common sense! Mbona simple tu
Nyie ndio misukule yenyewe,unabebaje mil 100 za mwanaume mwenzio bureAnaropoka na kujidai mjuaji, watu tunabeba mpaka m 100 kupeleka bank yeye anashangaa m 40! Ujuaji ukizidi unabadilika kuwa upumbavu!
Khakhakhaaa Maharage 🤣🤣🤣🤣Huwa anatupia jioni. Leo Sijui kala maharage ya wapi