goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 978
- 1,237
Nimekuja kuona namna mnavyohangaikia mwendelezo wa hadithi za kutungaSasa huku umefuata nini?
Braza nimependa shati lako.Namtafuta Umughaka hapa mjini Mbezi nimetokea Kibaha. Niombeeni dua. yeye asimulie mimi niandike epsode zote chapchap.
Dua zeny muhimu sana, nimuone uyu jamaaView attachment 2466558View attachment 2466562
Kwenye uzi wa kwanza alikamatwa kwenye armed robbery.Hivi alikosa Nini?
Kwani sisi tukihangaika we wasiwasi wako nn?? we si ukaandike wako wa ukweli au ukasome zinakopatikana za ukweli eti!Nimekuja kuona namna mnavyohangaikia mwendelezo wa hadithi za kutunga
Mkuu nimechelewa kuona hii, upo mpaka lini?Hello!.
Hope mko poa.
Ndugu zangu wa mkoa wa Mbeya,nimeingia usiku huu hapa Mbeya na nitakuwa hapa kwa siku kadhaa,hivyo kwa atakaye taka kuonana na mimi ani-pm ili tufahamiane.
Jumapili nategemea kwenda Gereza la Ruanda kumuona na kumsalimia Mshikaji wangu Gabriel (Gabi).Huu umekuwa utamaduni wangu kila mwanzo wa mwaka kuja kumjulia hali jamaa yangu aliyehukumiwa miaka 30.
Nawapenda sana!.
Wasi wasi wangu ni kuwa akili zanu haziwatoshi. Yaani madishi yenu chenga tuKwani sisi tukihangaika we wasiwasi wako nn?? we si ukaandike wako wa ukweli au ukasome zinakopatikana za ukweli eti!
Hope watajitokeza walioko maeneo ya huko.. ungekua dodoma wenyeji tupo tungekupokeaPm zimefungwa
Mimi nilikua kwa nyuma_ uyo abiria mwenzangu.Braza nimependa shati lako.
Huyu UMUGHAKA shida yake ndio hii. Kwani kusema leo niko safarini sitaweka chochote inam-cost nini? Au angeweka ratiba kwa mfano aseme "kila siku saa moja usiku naweka mwendelezo" kusingekuwa na manung'uniko haya ya wateja wake. Mpaka watu wanakata tamaa bhana..[emoji35]Habari yako mkuu?
Ni vyema ungendelea mkuu au hadi kesho tena?
Kaanza kudeka nae kama yule adui wa walimuHuyu UMUGHAKA shida yake ndio hii. Kwani kusema leo niko safarini sitaweka chochote inam-cost nini? Au angeweka ratiba kwa mfano aseme "kila siku saa moja usiku naweka mwendelezo" kusingekuwa na manung'uniko haya ya wateja wake. Mpaka watu wanakata tamaa bhana..[emoji35]
Acha kulia lia wewe kwan unamlipa?😆Huyu UMUGHAKA shida yake ndio hii. Kwani kusema leo niko safarini sitaweka chochote inam-cost nini? Au angeweka ratiba kwa mfano aseme "kila siku saa moja usiku naweka mwendelezo" kusingekuwa na manung'uniko haya ya wateja wake. Mpaka watu wanakata tamaa bhana..[emoji35]
Jinsi ulivyo tapeliwa hiyo 9M umenikumbusha nilivyompa mtu 500k aipeleke mahali nikampa na elf 15 ya nauli japo nauli ilikua hata elfu 3 inatosha kufika njian akaichezea kamari akaliwa yote alafu akanipigia simu kwa simu ya kuazima akanimbia "Bro naomba kama una elfu mbili nitumie nikifika huko tutaongea"
Nikamuulize hela imefika? Akanijibu usiwe na haraka bro we nitumie elfu mbili nije nikuelezee vizuri kwa simu hutanielewa.
Nilimpa jibu moja tu "usirudi nitakuua"
Anatafuta mume si unajua mwaka ndio ushaanza hivyoSasa huku umefuata nini?