Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hello!.

Hope mko poa.

Ndugu zangu wa mkoa wa Mbeya,nimeingia usiku huu hapa Mbeya na nitakuwa hapa kwa siku kadhaa,hivyo kwa atakaye taka kuonana na mimi ani-pm ili tufahamiane.

Jumapili nategemea kwenda Gereza la Ruanda kumuona na kumsalimia Mshikaji wangu Gabriel (Gabi).Huu umekuwa utamaduni wangu kila mwanzo wa mwaka kuja kumjulia hali jamaa yangu aliyehukumiwa miaka 30.

Nawapenda sana!.
Mkuu nimechelewa kuona hii, upo mpaka lini?
 
Za ndaaani kabisa Dude lililokua linakula kabichi na mboga za majani lilikua linafanana kama hili hapa huku kiwiwili kikiwa cha binadamu
IMG_1087.jpg
 
Habari yako mkuu?
Ni vyema ungendelea mkuu au hadi kesho tena?
Huyu UMUGHAKA shida yake ndio hii. Kwani kusema leo niko safarini sitaweka chochote inam-cost nini? Au angeweka ratiba kwa mfano aseme "kila siku saa moja usiku naweka mwendelezo" kusingekuwa na manung'uniko haya ya wateja wake. Mpaka watu wanakata tamaa bhana..[emoji35]
 
Kaanza kudeka nae kama yule adui wa walimu
 
Huyu UMUGHAKA shida yake ndio hii. Kwani kusema leo niko safarini sitaweka chochote inam-cost nini? Au angeweka ratiba kwa mfano aseme "kila siku saa moja usiku naweka mwendelezo" kusingekuwa na manung'uniko haya ya wateja wake. Mpaka watu wanakata tamaa bhana..[emoji35]
Acha kulia lia wewe kwan unamlipa?😆
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jinsi ulivyo tapeliwa hiyo 9M umenikumbusha nilivyompa mtu 500k aipeleke mahali nikampa na elf 15 ya nauli japo nauli ilikua hata elfu 3 inatosha kufika njian akaichezea kamari akaliwa yote alafu akanipigia simu kwa simu ya kuazima akanimbia "Bro naomba kama una elfu mbili nitumie nikifika huko tutaongea"
Nikamuulize hela imefika? Akanijibu usiwe na haraka bro we nitumie elfu mbili nije nikuelezee vizuri kwa simu hutanielewa.

Nilimpa jibu moja tu "usirudi nitakuua"
 
Back
Top Bottom