hii ndo shida ya watuma simulizi wa jf anaanza vizuri af akipata audience analewa. Angalia simulizi ya kwanza the guy alikua anashusha vitu bampa tu bampa mwishoni akawa full of xqz and tha was after kuona amekubalika yani if its my wish tuache hata kumkumbusha trust me venye tunaonesha we desparately need this uyu atatutesa sana and here am refering kwa mtunzi mmija mzuriiiisaana hapa jf yani yeye ni zaidi sana ya huyu infact angeweza kufika mbali sana sasa baada ya kuona ana watu wengi akaanza pozi na xqzs kibao leo nipo safar leo kazi maalum leo nimeitwa leo naumwa leo hakuna umeme mpk watu wakaingia ganzi i bet he is still wondering. Jamani watunzi mjue hakuna Fanani bila Hadhira yani bila sisi wewe kazi yako ni bure utakaa ujsimulie mwenyewe udate tukuwahishe milembe. Yes huwezi kutuma kila siku bas toa ratiba na uifuate maana hatujakuomba ulete na hujatuomba tusome, umeshindwa kutuma sema leo situmi watu waendelee kuijenga nchi masikini wasiingie jf kukutafta sa unatujia na habari za uko mbeya inahusu nini hapa na unaona watu wanakuita af pozi zote hizi ukija umetupia kimoja umesepa aisee elewa njaa ikiuma saana inakuja inaacha acha uletewe chakula gani unaweza usile na wewe yanaelekea kukukuta soon mtu umeanza vizuri umepata neema ya kukubalika fastaa c ndo ungetumia majira kwa hekima maana hii kwako ni miaka saba ya mavuno bad enough hujui itakuja saba ya ukame atakuja mtu mwenye simulizi zake anakuoutsmart the way u outsmarted others ukawa talk of town niamini mimi utasahaulika na itakua mapema zaidi kwasababu umeanza kulewa kabla jua halijazama. All the best.
Umeandika kwa emotions hata ukatae,yaani uliongozwa na irrational brain am sio rational one,use slow brain and sio fast thinking brain mkuu na ndio Mana tuna tofauti na wanyama tunawazidi iyo rational brain.
Kwanza nichambue brain yako Ni kwa Nini umeandika haya yote Kama ifuatavyo Mana Niko field kwenye mind za watu;
1-huna kazi zinazokubana
2-ratiba zako,mawazo yako yaani kila kitu chako unataka kila mtu awe Kama wewe so your subjectivity unataka iwe objectivity.
3-sijajua umri wako na majukumu yako unalilia story ambazo haziwezi kukuongezea chochote kwenye maisha yako hata uje kuwasimulia wajukuu faida yako.
4-unazidiwa na emotions Kama hivyo brain yako inataka upate Raha ya hadithi Ila huipati so unalilia na ndio Mana wauza Raha Wana hela Kama wanamuziki wanamichezo wauza mbususu,drugs,pombe,sigara,bangi wanapata hela Mana wanaridhisha feelings or emotions za watu.
5- Nikupe mbinu fanya chochote jisahaulishe soma hata kitabu Cha Hadithi ama waza namna gani akaunti yako isome angalau b plus huko benki hizi Hadithi hazitakuwa na Mana kwako.
6- waza namna mwanao atasome USA ama uk like oxfords University am sure you won't bothered/irritated this baby stuffs.
7-Ni kweli hamjapangiana ailete ama wewe uisome si ubonyeze Ile button ya ignore member ama kwako haionekani.
8-hamjapangiana kuisoma ama kuileta mbona Sasa Tena unampangia.
9- unataka akuambie kuwa yupo wapi na anafanya Nini WEWE Ni Nani unaweza ukamlisha hata siku moja,hujui Kuna watu hawapendi kujielezea hata kwa mabosi zao.
10- unamtishia kuwa akubakia nayo ataenda milembe kwa sayansi ipi kwani anashindwa kuwasimulia jamaa anaofanya nao kazi.
11- Do something else hutaweweseka ,ama Kama Kuna mtt unapoishi mfundishe hata simple present tense ama hesabu za milinganyo ama msimulie history ama mwambie dunia yetu una mabara mangapi.
Ujue mpaka nimeshindwa.
Usijali bana tuna socialize don't take serious. Build your mind muscles and not physical muscles please