Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Umeongea kwa uchungu, utulivu na akili kubwa. Sio kama vijana wa "ovyo" kama yule winston20.
 
Umeandika kweli kabisa. Hakuna mtu yule anataka kujua yupo wapi, wote humu either tupo sehemu moja au tofauti au stationary au tunahamahama, haimaanishi tupo ofisi za JF tukisoma simulizi zake.
Kikubwa IDs zetu zipo hapahapa, na tunaishi hivihivi..eeh, hivihivi, hivyo, ndiyo hivyo tu.

Mimi namkubali ni Mwandishi mzuri sana, ila ameanza madeko mingi, ukute ameshajipatia kadelila humu kameanza kumtoa kwenye reli
 
Uko sahihi mkuu, waleta story wa Jf mara nyingi kama siyo zote lazima wapate excuses, mara umeme, mara mtoto anaumwa, mara nimesafiri, mara simu imeharibika, mara nimeenda shamba, yaani akishapata attention tu wanaanza kuzingua.

Anyway tuvumilie tu kwani story ni zao na sisi hawajatuita kuzisoma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kadelila
 
Msiwe mnajipendekeza kuleta story humu. Kama hamuwezi chukua time.
 
Na kwanini ajitolee, kwani tulimwambia alete story ni kiherehere chake!
 
Umeandika kwa emotions hata ukatae,yaani uliongozwa na irrational brain am sio rational one,use slow brain and sio fast thinking brain mkuu na ndio Mana tuna tofauti na wanyama tunawazidi iyo rational brain.


Kwanza nichambue brain yako Ni kwa Nini umeandika haya yote Kama ifuatavyo Mana Niko field kwenye mind za watu;
1-huna kazi zinazokubana
2-ratiba zako,mawazo yako yaani kila kitu chako unataka kila mtu awe Kama wewe so your subjectivity unataka iwe objectivity.
3-sijajua umri wako na majukumu yako unalilia story ambazo haziwezi kukuongezea chochote kwenye maisha yako hata uje kuwasimulia wajukuu faida yako.
4-unazidiwa na emotions Kama hivyo brain yako inataka upate Raha ya hadithi Ila huipati so unalilia na ndio Mana wauza Raha Wana hela Kama wanamuziki wanamichezo wauza mbususu,drugs,pombe,sigara,bangi wanapata hela Mana wanaridhisha feelings or emotions za watu.
5- Nikupe mbinu fanya chochote jisahaulishe soma hata kitabu Cha Hadithi ama waza namna gani akaunti yako isome angalau b plus huko benki hizi Hadithi hazitakuwa na Mana kwako.
6- waza namna mwanao atasome USA ama uk like oxfords University am sure you won't bothered/irritated this baby stuffs.
7-Ni kweli hamjapangiana ailete ama wewe uisome si ubonyeze Ile button ya ignore member ama kwako haionekani.
8-hamjapangiana kuisoma ama kuileta mbona Sasa Tena unampangia.
9- unataka akuambie kuwa yupo wapi na anafanya Nini WEWE Ni Nani unaweza ukamlisha hata siku moja,hujui Kuna watu hawapendi kujielezea hata kwa mabosi zao.
10- unamtishia kuwa akubakia nayo ataenda milembe kwa sayansi ipi kwani anashindwa kuwasimulia jamaa anaofanya nao kazi.


11- Do something else hutaweweseka ,ama Kama Kuna mtt unapoishi mfundishe hata simple present tense ama hesabu za milinganyo ama msimulie history ama mwambie dunia yetu una mabara mangapi.

Ujue mpaka nimeshindwa.
Usijali bana tuna socialize don't take serious. Build your mind muscles and not physical muscles please
 
Kuna mda mtu unajibaana,unavumilia ila kuna mda unaona acha niseme bana kwani nini? Liwalo na liwe...ndo hivi....asante kutuwakilisha....
 
Sasa hapa umeandika nini? Mbona nje kabisa ya context?
 
Sijaona tofauti yako na yake.... Ungekuwa busy kiivyo umetoa wapi muda wa kusoma comments...narudia tena comments ndefu...halafu uanze kumchambua mtu hivyo au ndio kazi zako!?!? .... Hapa tuachane tu kila mtu atoe nyongo yake.... Shughuli zetu zinatofautiana saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…