Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Mkuu naomba ni tag, maana nimetafuta siioniTena kwa waliofuatilia hadithi iliyopita, safari hiyo ya Mbeya, ni kama muendelezo wa ile hadithi. Pia, inathibitisha kuwa alichotusimulia ni kweli! Gaby alikuwa muhusika mkuu, na kwenye simulizi ile, alituambia kuwa jamaa alifungwa!
Unategemea nini kama pesa hakuna, ajira hamna, mitaji hamna, nashangaa sana watu wamekua ADDICTED na huyu jamaa na stori zake za kusadikika, mbaya zaid ameshajua hilo na watu wamekua na AROSTO KALI kama wavuta cocaine, mtu analalamika kabisa, na yeye sasa anataka kulambwa miguu na akisoma comments ndio masikio yanazidi kichwa, perhaps its psychlogical breakdown ugonjwa huo upo, someone feels happy to see others kneel or cry infront of them begging for something ...Kawageuza watu misukule humu
Lipia bandoAisee nimesoma yote
Can't say more!hii ndo shida ya watuma simulizi wa jf anaanza vizuri af akipata audience analewa. Angalia simulizi ya kwanza the guy alikua anashusha vitu bampa tu bampa mwishoni akawa full of xqz and tha was after kuona amekubalika yani if its my wish tuache hata kumkumbusha trust me venye tunaonesha we desparately need this uyu atatutesa sana and here am refering kwa mtunzi mmija mzuriiiisaana hapa jf yani yeye ni zaidi sana ya huyu infact angeweza kufika mbali sana sasa baada ya kuona ana watu wengi akaanza pozi na xqzs kibao leo nipo safar leo kazi maalum leo nimeitwa leo naumwa leo hakuna umeme mpk watu wakaingia ganzi i bet he is still wondering. Jamani watunzi mjue hakuna Fanani bila Hadhira yani bila sisi wewe kazi yako ni bure utakaa ujsimulie mwenyewe udate tukuwahishe milembe. Yes huwezi kutuma kila siku bas toa ratiba na uifuate maana hatujakuomba ulete na hujatuomba tusome, umeshindwa kutuma sema leo situmi watu waendelee kuijenga nchi masikini wasiingie jf kukutafta sa unatujia na habari za uko mbeya inahusu nini hapa na unaona watu wanakuita af pozi zote hizi ukija umetupia kimoja umesepa aisee elewa njaa ikiuma saana inakuja inaacha acha uletewe chakula gani unaweza usile na wewe yanaelekea kukukuta soon mtu umeanza vizuri umepata neema ya kukubalika fastaa c ndo ungetumia majira kwa hekima maana hii kwako ni miaka saba ya mavuno bad enough hujui itakuja saba ya ukame atakuja mtu mwenye simulizi zake anakuoutsmart the way u outsmarted others ukawa talk of town niamini mimi utasahaulika na itakua mapema zaidi kwasababu umeanza kulewa kabla jua halijazama. All the best.
🤣we nae si utulie nyie ndo wale bora uaibike ila uwepo wako uonekane aya mama umeshida rudi jikoni upike tule sasa ndo mana huwa mnawashwa makofi mnakimbilia kushtaki eti ukatili wa kijinsia sasa hapa wanamume tunatunishiana vifua unakuja na tu chuchu twako saa kumi na mbili kujipitisha haya chukua kombe rudi jikoni haraka boma liwanza
we jamaa, umetumia akili nyingi sana sijui kama ataelewa _ uyu ataona umemuonea sana.Umeandika kwa emotions hata ukatae,yaani uliongozwa na irrational brain am sio rational one,use slow brain and sio fast thinking brain mkuu na ndio Mana tuna tofauti na wanyama tunawazidi iyo rational brain.
Kwanza nichambue brain yako Ni kwa Nini umeandika haya yote Kama ifuatavyo Mana Niko field kwenye mind za watu;
1-huna kazi zinazokubana
2-ratiba zako,mawazo yako yaani kila kitu chako unataka kila mtu awe Kama wewe so your subjectivity unataka iwe objectivity.
3-sijajua umri wako na majukumu yako unalilia story ambazo haziwezi kukuongezea chochote kwenye maisha yako hata uje kuwasimulia wajukuu faida yako.
4-unazidiwa na emotions Kama hivyo brain yako inataka upate Raha ya hadithi Ila huipati so unalilia na ndio Mana wauza Raha Wana hela Kama wanamuziki wanamichezo wauza mbususu,drugs,pombe,sigara,bangi wanapata hela Mana wanaridhisha feelings or emotions za watu.
5- Nikupe mbinu fanya chochote jisahaulishe soma hata kitabu Cha Hadithi ama waza namna gani akaunti yako isome angalau b plus huko benki hizi Hadithi hazitakuwa na Mana kwako.
6- waza namna mwanao atasome USA ama uk like oxfords University am sure you won't bothered/irritated this baby stuffs.
7-Ni kweli hamjapangiana ailete ama wewe uisome si ubonyeze Ile button ya ignore member ama kwako haionekani.
8-hamjapangiana kuisoma ama kuileta mbona Sasa Tena unampangia.
9- unataka akuambie kuwa yupo wapi na anafanya Nini WEWE Ni Nani unaweza ukamlisha hata siku moja,hujui Kuna watu hawapendi kujielezea hata kwa mabosi zao.
10- unamtishia kuwa akubakia nayo ataenda milembe kwa sayansi ipi kwani anashindwa kuwasimulia jamaa anaofanya nao kazi.
11- Do something else hutaweweseka ,ama Kama Kuna mtt unapoishi mfundishe hata simple present tense ama hesabu za milinganyo ama msimulie history ama mwambie dunia yetu una mabara mangapi.
Ujue mpaka nimeshindwa.
Usijali bana tuna socialize don't take serious. Build your mind muscles and not physical muscles please
Akaniambia kuwa sijui Nini cheki hapo juu akanijibu ikabidi nimuache. Ujue nishacheki movies, film,series, Hadithi nimesoma Ila sijawahi ongezeka kitu Ni sawa tu na kula chakula kitamu wakati wa kula kikishaisha unasahau kuwa Jana ulikula kuku mzima Tena choma. So ni kujua miili na akili zetu baadaye uzitawale.we jamaa, umetumia akili nyingi sana sijui kama ataelewa _ uyu ataona umemuonea sana.
I appreciateEasy man! Yeye ni binadamu hana ratiba fixed kama ww.
We just have to understand him and appreciate what he delivers cz we don’t pay him for writing us a story and he doesn’t expect anything from us either,.
Hata kutuambia alipo au kilichomfanya ashindwe kuandika ni hekima yake tu ila he is not answerable to anyone in here, so chill relax kurya man will definitely come back with next eps till we finish the story.
UMUGHAKA acha basi kututesaaaaaaSure!.
Mi hadi mb zinaisha sijapata next epsodeUMUGHAKA acha basi kututesaaaaaa