Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Huyu UMUGHAKA shida yake ndio hii. Kwani kusema leo niko safarini sitaweka chochote inam-cost nini? Au angeweka ratiba kwa mfano aseme "kila siku saa moja usiku naweka mwendelezo" kusingekuwa na manung'uniko haya ya wateja wake. Mpaka watu wanakata tamaa bhana..[emoji35]
Nani ananung'unika? Kuna mtu humu ana mkataba na UMUGHAKA kuwa lazima aweke stori?
 
Hiki kitu ulitakiwa ukiseme watu wajue siku tatu hizi hakuna story. Unakuwa kama dereva bodaboda bhana..😡 UMUGHAKA
Emotions is real.
Either you rule your mind. Or your mind rules you. Master your mind, master your world.

If you allow an opponent to enter into your mental space the battle is already lost. DOPAMINE,ego,hope, fear, happiness, euphoria,dopamine and hunger. You can control them.

Kama unaweza ukaweka njaa pembeni ukajisahau Kama hunayo the same kwa kila emotions.
 
Tena kwa waliofuatilia hadithi iliyopita, safari hiyo ya Mbeya, ni kama muendelezo wa ile hadithi. Pia, inathibitisha kuwa alichotusimulia ni kweli! Gaby alikuwa muhusika mkuu, na kwenye simulizi ile, alituambia kuwa jamaa alifungwa!
kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida tu, hizi simulizi ni za kweli, kama ni chachandu ni kidogo sana, ndio maana hazijapangiliwa kiutunzi, mfano leo anabeba tofali, mara yuko eco dege, mara anasajili laini, mara analisha misukule,,hizi ni simulizi za kweli.
 
Back
Top Bottom