Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Siku na mimi nikiwa na mda nitakuja kueleza juu ya " Umuhimu wa damu kiroho" kwa nini damu ina nguvu kubwa sana katika ulimwengu wa kiroho? Hasa damu ya Binadamu. Lakini pia nitaeleza kwanini sadaka ya damu ndio sadaka kubwa ipitayo zote? Iwe kwenye ulimwengu wa nuru au wa giza.

Kadhalika kwa nini unaambiwa usiharibu bure manii zako? Damu hapo inamchango gani? Iko siku nitaleta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…