Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Nakutisha kwani umeoa mmakonde?
Nina watunnawajua walianzia kazi huko tena vyeo vizuri na wakastaafia huko nyumbani walirudi wakiwa mifupa mitupu kwa maradhi na ndani ya week chache walikufa. Kwao hakikurudi hata kijiko...
Me ni majirani zangu kimkoa so nawaelewa sana tuu

Mkoa wako ni gani?
 
Aisee watu wa Mbeya Mgonile?

kumbe mko serious hivi na maisha!.

Jana nimepita mahali nikakuta watu wamekusanyika kibao nikadhani labda wanaangalia mpira kumbe wako serious wakitazama Taarifa ya habari
emoji23.png
emoji23.png
.

Hongereni sana kwa uaminifu wenu wa kufatilia mambo muhimu yanayoendelea Tanzania na duniani,kiukweli nimeshangaa sana kwasababu mkusanyiko ule kwa pale Dar es salaam utakuta kwenye mambo ya mpira tu na huwezi kuona eti watu wamekusanyika kijamaa wanaangalia taarifa ya habari!

Mmenikosha sana watu wa Mbeya!

emoji23.png
emoji23.png
[emoji2

Aisee watu wa Mbeya Mgonile?

kumbe mko serious hivi na maisha!.

Jana nimepita mahali nikakuta watu wamekusanyika kibao nikadhani labda wanaangalia mpira kumbe wako serious wakitazama Taarifa ya habari[emoji23][emoji23].

Hongereni sana kwa uaminifu wenu wa kufatilia mambo muhimu yanayoendelea Tanzania na duniani,kiukweli nimeshangaa sana kwasababu mkusanyiko ule kwa pale Dar es salaam utakuta kwenye mambo ya mpira tu na huwezi kuona eti watu wamekusanyika kijamaa wanaangalia taarifa ya habari!

Mmenikosha sana watu wa Mbeya!

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wakati tunahangaika hapa jana kusubiria story kumbe wewe ulikuwa unazurura mitaani huko kushangaa shangaa😡😡. Hii tabia sio nzuri, ungesema watu waendelee na mambo mengine.
 
Back
Top Bottom