Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Nakutisha kwani umeoa mmakonde?
Nina watunnawajua walianzia kazi huko tena vyeo vizuri na wakastaafia huko nyumbani walirudi wakiwa mifupa mitupu kwa maradhi na ndani ya week chache walikufa. Kwao hakikurudi hata kijiko...
Me ni majirani zangu kimkoa so nawaelewa sana tuu
Mwache tu aendelee na hizo stories zake akiona watu wanamsifia anajaa ujinga kuwaandikia watu vitu vya uongo.Uyu jamaa mbona kauanza mwaka vby[emoji23][emoji23]
Sawa. Mi wala sina maneno mengi... Aendelee na kuwachafua wapemba.kwa vitisho hivi unajidhirisha wewe ni mchawi
Muulize aliyeandika pia kama anakifahamu kiarabu au alijuaje kuwa yule mganga alizungumza kiarabu
Sawa kama ni chuki. Mi wala sigombani naye. Mi nlijua alikokuwa anaelekea so nlijaribu kumuonya mapema. But sawa aendelee kuudanganya umma. Maana anajidai ni kweli yalimtokea huku anatunga uongoMkuu acha hizo, toka awala umeonyesha chuki na mleta mada
Mimi Mtanzania.Ww ni mpemba pia?!
Sawa sheikh mi sina maneno mengi sana.Kwa panic hii, inaonesha story imegusa maslahi yako ya ukweli.
Wacha kuusoma huu uzi kama unakwazika maana unaongea sanaSawa kama ni chuki. Mi wala sigombani naye. Mi nlijua alikokuwa anaelekea so nlijaribu kumuonya mapema. But sawa aendelee kuudanganya umma. Maana anajidai ni kweli yalimtokea huku anatunga uongo
Aisee watu wa Mbeya Mgonile?
kumbe mko serious hivi na maisha!.
Jana nimepita mahali nikakuta watu wamekusanyika kibao nikadhani labda wanaangalia mpira kumbe wako serious wakitazama Taarifa ya habari.
Hongereni sana kwa uaminifu wenu wa kufatilia mambo muhimu yanayoendelea Tanzania na duniani,kiukweli nimeshangaa sana kwasababu mkusanyiko ule kwa pale Dar es salaam utakuta kwenye mambo ya mpira tu na huwezi kuona eti watu wamekusanyika kijamaa wanaangalia taarifa ya habari!
Mmenikosha sana watu wa Mbeya!
[emoji2
Kumbe wakati tunahangaika hapa jana kusubiria story kumbe wewe ulikuwa unazurura mitaani huko kushangaa shangaa😡😡. Hii tabia sio nzuri, ungesema watu waendelee na mambo mengine.Aisee watu wa Mbeya Mgonile?
kumbe mko serious hivi na maisha!.
Jana nimepita mahali nikakuta watu wamekusanyika kibao nikadhani labda wanaangalia mpira kumbe wako serious wakitazama Taarifa ya habari[emoji23][emoji23].
Hongereni sana kwa uaminifu wenu wa kufatilia mambo muhimu yanayoendelea Tanzania na duniani,kiukweli nimeshangaa sana kwasababu mkusanyiko ule kwa pale Dar es salaam utakuta kwenye mambo ya mpira tu na huwezi kuona eti watu wamekusanyika kijamaa wanaangalia taarifa ya habari!
Mmenikosha sana watu wa Mbeya!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe una utindio wa ubongo karekebishe kichwa!Kumbe wakati tunahangaika hapa jana kusubiria story kumbe wewe ulikuwa unazurura mitaani huko kushangaa shangaa[emoji35][emoji35]. Hii tabia sio nzuri, ungesema watu waendelee na mambo mengine.
Kwani wapenda hawa tumii majini kwenye kuroga ?Sawa kama ni chuki. Mi wala sigombani naye. Mi nlijua alikokuwa anaelekea so nlijaribu kumuonya mapema. But sawa aendelee kuudanganya umma. Maana anajidai ni kweli yalimtokea huku anatunga uongo
Kuharibu kwa namna gani mkuu!Kadhalika kwa nini unaambiwa usiharibu bure manii zako? Damu hapo inamchango gani? Iko siku nitaleta...
Muda si mrefu litaibuka na kututaarifu kuwa limekuta Gabi kafa gerezaniKumbe wakati tunahangaika hapa jana kusubiria story kumbe wewe ulikuwa unazurura mitaani huko kushangaa shangaa😡😡. Hii tabia sio nzuri, ungesema watu waendelee na mambo mengine.
Acha uchuro na wivuMuda si mrefu litaibuka na kututaarifu kuwa limekuta Gabi kafa gerezani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]diamond aliimba bora akae kimyaTumoghele
Mbeya hatuna Mbambamba.
Isingekuwa hayo maruweruwe ya kina Ally Mpemba tungeonana Mkuu.
Tukionana hayo lazima yalipuke.
Unahitaji msaada [emoji144]Muda si mrefu litaibuka na kututaarifu kuwa limekuta Gabi kafa gerezani