Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Aisee watu wa Mbeya Mgonile?

kumbe mko serious hivi na maisha!.

Jana nimepita mahali nikakuta watu wamekusanyika kibao nikadhani labda wanaangalia mpira kumbe wako serious wakitazama Taarifa ya habari[emoji23][emoji23].

Hongereni sana kwa uaminifu wenu wa kufatilia mambo muhimu yanayoendelea Tanzania na duniani,kiukweli nimeshangaa sana kwasababu mkusanyiko ule kwa pale Dar es salaam utakuta kwenye mambo ya mpira tu na huwezi kuona eti watu wamekusanyika kijamaa wanaangalia taarifa ya habari!

Mmenikosha sana watu wa Mbeya!

[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 Wazalendo,nyie watu wa Dar mmevurugwa
 
Wewe ndugu Chizi Maarifa utakuwa na matatizo, mbona kwenye thread zako hakunaga mtu anaekuja kukuzonga kama jinsi wewe unavyofanya kwa Master UMUGHAKA, kujuana nje ya Jf isiwe sababu ya kuja kumsakama hivi mwenzio, mbona wengi tu tunafahamiana nao nje ya hapa lakini tunaweka heshima kwenye thread zao.

Imeshasemwa sana mambo ya humu usiyachukulie u serious sana, ukiona jambo limeletwa na mwenzio lakini hujalipenda si unapita kimya kimya tu kwani kuna haja gani ya kuja kutuonesha jinsi usivyompenda
Daaaah..... Hii ni ID ya nani? Sema ukweli.
 
Mkuu UMUGHAKA kama kweli hivi visa unavyovisimulia in vya kweli basi naweza kuitimisha kwa kusema hujui kabisa kuzitumia akili ulizopewa na mwenyezi Mungu

Tukianzia kule kwa Monica ulikopakwa pakwa na kuchanjwa chanjwa na wachawi,tuje kule kwa akina Jipe ulikoamua kuwa jambazi eti kwa sababu rafiki yako Mutatiro alikubali.Tuje hapa kwenye hiki kisa chako cha kumuamini shetani ambako ulikabidhiwa kazi ya kufungua na kufunga chumba usichojua kimehifadhi kitu gani nawe ukakubali tu kama likondoo tena ukaambiwa uwe unalala kwenye gari nje bado hukuinusa hatari

Tuje hapa unaposema ulipelekwa kwa mganga huko Unguja bila kujua unakwenda fanya nini na wewe ukaenda kimya kimya bila hata kumuaga msela wako Steve

Kwa kutumia tu hayo matukio yako machache uliyoyaweka hadharani mpaka sasa naweza kusema ulikuwa na haki zote kupata zero advance na baba yako alikuwa na haki zote kukutimua nyumbani kwake uende ukaibiwe million 9 zako za ujambazi na mlevi Kiheri
Kwa huu upembuzi wako yakinifu,ungekuwa serious hivi kwenye elimu yako nadhani Sasa ungekuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali...
 
No mimi siwezi mind kuitwa sina akili. Mimi si ni CHIZI umeona ID yangu? So nafurahi kuitwa hivyo. Nimesikitika tu kuwa yeye nawa tumempokea leo anajioona mjanja....🤣
Bro, hata vunja bei kuna wajanja walimpokea mjini hapa ila saivi kawaacha mbali sana, so chill mkuu Prof J aliachwa na Zubeda aliyemtoa kijijini Sutimbi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bro, hata vunja bei kuna wajanja walimpokea mjini hapa ila saivi kawaacha mbali sana, so chill mkuu Prof J aliachwa na Zubeda aliyemtoa kijijini Sutimbi 🤣🤣🤣🤣🤣
Ha ha ha... Mimi kiuchumi sina tatizo nasikitika tu jamaa kaingizwa mjini ameshazoea sasa....haya yote heri lakini....🤣
 
Back
Top Bottom