πππ Wazalendo,nyie watu wa Dar mmevurugwaAisee watu wa Mbeya Mgonile?
kumbe mko serious hivi na maisha!.
Jana nimepita mahali nikakuta watu wamekusanyika kibao nikadhani labda wanaangalia mpira kumbe wako serious wakitazama Taarifa ya habari[emoji23][emoji23].
Hongereni sana kwa uaminifu wenu wa kufatilia mambo muhimu yanayoendelea Tanzania na duniani,kiukweli nimeshangaa sana kwasababu mkusanyiko ule kwa pale Dar es salaam utakuta kwenye mambo ya mpira tu na huwezi kuona eti watu wamekusanyika kijamaa wanaangalia taarifa ya habari!
Mmenikosha sana watu wa Mbeya!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaah..... Hii ni ID ya nani? Sema ukweli.Wewe ndugu Chizi Maarifa utakuwa na matatizo, mbona kwenye thread zako hakunaga mtu anaekuja kukuzonga kama jinsi wewe unavyofanya kwa Master UMUGHAKA, kujuana nje ya Jf isiwe sababu ya kuja kumsakama hivi mwenzio, mbona wengi tu tunafahamiana nao nje ya hapa lakini tunaweka heshima kwenye thread zao.
Imeshasemwa sana mambo ya humu usiyachukulie u serious sana, ukiona jambo limeletwa na mwenzio lakini hujalipenda si unapita kimya kimya tu kwani kuna haja gani ya kuja kutuonesha jinsi usivyompenda
Haya sheikh. Mi sintosema mengi kwa sasa ye ajua mi namaanisha nini. Inshallah...yatalipwa haya.Mkuu kama wewe unawafahamu bila shaka unachohisi walimfanyia jamaa watakuwa wadhakufanyia wewe saaana maana unasema umehusika na kukaa kwake mjini kwaio kila alilofanyiwa bila shaka ulimtangulia π π π
You start first.Get a LIFE
we jamaa acha ushambaAnd you think that you are already educated? Kiswahili tumekufundisha na bado hata unaandika unakosea. Acha kiingereza its not your mother tongue i cant blame you for that. Hii dunia tenda wema wende. Unajiona tayari nawe ni super star? Umetukuta lakini.
Kwa huu upembuzi wako yakinifu,ungekuwa serious hivi kwenye elimu yako nadhani Sasa ungekuwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali...Mkuu UMUGHAKA kama kweli hivi visa unavyovisimulia in vya kweli basi naweza kuitimisha kwa kusema hujui kabisa kuzitumia akili ulizopewa na mwenyezi Mungu
Tukianzia kule kwa Monica ulikopakwa pakwa na kuchanjwa chanjwa na wachawi,tuje kule kwa akina Jipe ulikoamua kuwa jambazi eti kwa sababu rafiki yako Mutatiro alikubali.Tuje hapa kwenye hiki kisa chako cha kumuamini shetani ambako ulikabidhiwa kazi ya kufungua na kufunga chumba usichojua kimehifadhi kitu gani nawe ukakubali tu kama likondoo tena ukaambiwa uwe unalala kwenye gari nje bado hukuinusa hatari
Tuje hapa unaposema ulipelekwa kwa mganga huko Unguja bila kujua unakwenda fanya nini na wewe ukaenda kimya kimya bila hata kumuaga msela wako Steve
Kwa kutumia tu hayo matukio yako machache uliyoyaweka hadharani mpaka sasa naweza kusema ulikuwa na haki zote kupata zero advance na baba yako alikuwa na haki zote kukutimua nyumbani kwake uende ukaibiwe million 9 zako za ujambazi na mlevi Kiheri
Mkuu kama umemind kwa kuitwa "huna akili" hata wewe ulianza kumuita hivyo. No hard feelings πππHaya sheikh. Mi sintosema mengi kwa sasa ye ajua mi namaanisha nini. Inshallah...yatalipwa haya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu kama umemind kwa kuitwa "huna akili" hata wewe ulianza kumuita hivyo. No hard feelings [emoji41][emoji41][emoji41]
Ila kumbe we jamaa ni mjinga hivi
Mimi nafaa nitawanyoosha hadi waniite mnoko.Jamani,tuchague kiranja humu ndani maana fujo zimezidi
No mimi siwezi mind kuitwa sina akili. Mimi si ni CHIZI umeona ID yangu? So nafurahi kuitwa hivyo. Nimesikitika tu kuwa yeye nawa tumempokea leo anajioona mjanja....π€£Mkuu kama umemind kwa kuitwa "huna akili" hata wewe ulianza kumuita hivyo. No hard feelings πππ
ππππWatukutu Sana sijui Kama utawawezaMimi nafaa nitawanyoosha hadi waniite mnoko.
Bro, hata vunja bei kuna wajanja walimpokea mjini hapa ila saivi kawaacha mbali sana, so chill mkuu Prof J aliachwa na Zubeda aliyemtoa kijijini Sutimbi π€£π€£π€£π€£π€£No mimi siwezi mind kuitwa sina akili. Mimi si ni CHIZI umeona ID yangu? So nafurahi kuitwa hivyo. Nimesikitika tu kuwa yeye nawa tumempokea leo anajioona mjanja....π€£
Atakua ni huyu Unique FlowerUmughaka hebu tupe mrejesho, umekutana na nani na nani wa jf huko Mbeya?
Ha ha ha... Mimi kiuchumi sina tatizo nasikitika tu jamaa kaingizwa mjini ameshazoea sasa....haya yote heri lakini....π€£Bro, hata vunja bei kuna wajanja walimpokea mjini hapa ila saivi kawaacha mbali sana, so chill mkuu Prof J aliachwa na Zubeda aliyemtoa kijijini Sutimbi π€£π€£π€£π€£π€£
Mental illness is real.Muda si mrefu litaibuka na kututaarifu kuwa limekuta Gabi kafa gerezani