Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Starring hapelekeshwi wewe , kaa kutuliaHoya dogo tuma episode nyingine. Na useme alichokufanya Mpemba Ami Ally Mahmoud. Si unasema hii ni true story? Sema yote sasa. Mi nasubiria nione kama utaandika yote.
TUMA EPISODE NYINGINE KWA HARAKA KIDOGO.
Kwani si alishaeleza kila kitu kwenye ule uzi wake wa kipindi kile alikopatiwa kazi ya kuangalia liTV la kaka mwarabu ambae hapa anamuita Ally mpembaHoya dogo tuma episode nyingine. Na useme alichokufanya Mpemba Ami Ally Mahmoud. Si unasema hii ni true story? Sema yote sasa. Mi nasubiria nione kama utaandika yote.
TUMA EPISODE NYINGINE KWA HARAKA KIDOGO.
Mkuu shusha episode achana na yule mpuuziMkuu nishasema huyo mwacheni ana utindio wa ubongo
Mbona unasisitiza sana kuhusu alichofanywa, au wewe kuna ulicho ulifanywa?Hoya dogo tuma episode nyingine. Na useme alichokufanya Mpemba Ami Ally Mahmoud. Si unasema hii ni true story? Sema yote sasa. Mi nasubiria nione kama utaandika yote.
TUMA EPISODE NYINGINE KWA HARAKA KIDOGO.
Hivi ulipata majibu?Watu wanahoji walipokuwa unguja nani alikuwa anafungua mlango ili kuhalalisha story kuwa ya hovyo na kuwa hakuna mwingine zaidi ya master anaweza kufanya hiyo kazi lkn hawahoji kabla ya master nani alishika hiyo kazi au baada ya master kuondoka nani atafanya hiyo kazi.
Pot lete story inayofuata, tatiga amang'ana amaluMkuu huyo ana utindio wa ubongo achaneni nae!
Hawapo serious Ila wanataka tuwaone wapo serious na maishaWatu wako serious hadi kwenye jukwaa la burudani.
Akikujibu niTAG 😎Mbona unasisitiza sana kuhusu alichofanywa, au wewe kuna ulicho ulifanywa?
Watu kama hawa ndio wanafanya hata wengine waonekane machizi kama yeye. Yaani utabishana nae wee mpqka baadae utaonekana huna akili pia.Unajua nilikua siamini kwamba watanzania milion 7 wanaugua magonjwa ya akili, sasa nimeamini,
Sasa kama.mtu anajiita CHIZI, hapo unakua unapigia mstari tu.
Rudi mpaka post 1295Weka link episode 15.
Kumbe unakumbuka......😂😂😂😂 Huyu jamaa mi huwa namshangaa sana.... Leo hii anamponda mpemba wakati mpemba amemtoa mbali sana kipindi hicho anamwita kaka mwarabu....Kwani si alishaeleza kila kitu kwenye ule uzi wake wa kipindi kile alikopatiwa kazi ya kuangalia liTV la kaka mwarabu ambae hapa anamuita Ally mpemba
Ukisoma sentensi yangu vizuri utagundua kuwa wote tunaongelea kitu hicho hicho, mimi niliwajibu waliokuwa wanauliza kuhusu wao wakati hawapoMaisha ni marahisi sana, don't complicate the minor things. Hii ni hadithi tu, isikuumize kichwa kwa mapungufu yanayo jitokeza