Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Aiseee utajiri una mambo mengi na siri nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kukaa na kuangalia luninga aisee ana moyo wa chumaKwanini ulinunua mboga majani zote kasoro matembele mkuu?? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila una moyo sana mimi sidhani kama hata kungelalika achia mbali kurudi humo ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji yako nae alikuwa na utajiri wa mauza uza au alikuwa mshirikina wa kuzindika nyumbaAliniachiaga Nyumba Shemej angu Daah sitasahau niliona bonge li moto chumbani umo umo mbona nikarudi bila kumwambia yaani ile nyumba ata mwizi asingeiba i[emoji23][emoji23]
Yaani ile ya mwaka jana ndio umeisoma jana??? Hii nchi ina vijana wazito sana.@ManyanzaUMUGHAKA tuletee story ndugu maana hizi story zako ni kweli kabisa na Zina mafunzo kabisa Jana nimeisoma ile ya Mshua alivyokufukuza kisa ulifeli na mitihani iliyokukuta. Endelea kutushushia aisee
Una Jina zuri sakafu ya peponi [emoji3][emoji3][emoji3]Kwakweli atuletee hasubui saiz anatutisha wengine tunalala pekeetu
Nilikuwa na ignore story zake huyu mwamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ile ya mwaka jana ndio umeisoma jana??? Hii nchi ina vijana wazito sana.@Manyanza
ACHA KABISA MWAMBA NI NOMA SANA..SOMA NA ILE "TULIVYOMFANYA YULE MCHAWI" NI YA KIWANGO CHA KUTISHA SANA.Nilikuwa na ignore story zake huyu mwamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hawa ndio hatari nilipanga apartment ya huyu Rais wa sasa Zanzibar aisee miezi mitatu tu nilihama [emoji23][emoji23][emoji23]Nilisahau na ndugu zetu wa pemba kule zanzibar
Na yenyewe itabidi niisome aisee zina mafunzo sana na maajabu ya duniaACHA KABISA MWAMBA NI NOMA SANA..SOMA NA ILE "TULIVYOMFANYA YULE MCHAWI" NI YA KIWANGO CHA KUTISHA SANA.
"NILINUNUA MBOGA KARIBU ZOTE KASORO MATEMBELE" UMUGHAKA ALIHISI MAJINI HAYALI MATEMBELE? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😆😆😆😅nimecheka baada ya kuwaza rafudhi za wapemba na hayo matamshi sasa.Ally Mpemba "Mtumeeeee!"
Aliendelea "Hiyo TV haijavunjwa kweli?"
Saaa kama ulikuwa unawasha AC kwa makosa ndio uchawi. Ukiweka joto itakupa joto.Hawa ndio hatari nilipanga apartment ya huyu Rais wa sasa Zanzibar aisee miezi mitatu tu nilihama [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwasha AC joto lakini ukiizima hali inakuwa poa kabisaa
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Ameshaharibu ubongo mfu wenye nguvu so anajua hela zote sio halali so anatafuta excuse ili awe comfortableSaaa kama ulikuwa unawasha AC kwa makosa ndio uchawi. Ukiweka joto itakupa joto.
Work hard upate hela wewe. Acha kusingizia uchawi.