Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Jamaa simuamini kama atafanya hii kazi ya ally mpemba vizuri bila kuharibu.. yaani nmepoteza hadi amani hapa nilipo..

Nahisi ataharibu then Sisi wote humu jf tuonekane hatuna maana.
Unataka kusemaje pardon embu njoo kwa upya

Sasa sisi member tutaonekana VIP hatuna maana kwa makosa ya Umughaka

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa haaminiki huyu kapewa maelekezo ya kufungua na kufunga chumba ashakua mwenyeji na tv anawasha anaangalia, haya kaelezwa awe analala kwenye Aud4 yeye kajiongeza anawasha na AC usiku kucha yaani kila sehemu hua lazima aharibu mambo.
Ndio shidaa yake kila sehemu lazima atoe boko, Sasa mtu unaelekezwa funga na Kisha fungua saa fln wee unaenda kuangaika na tv na kuchungulia nyumba za watu

I'll ukimbuambia ukweli wapambe na wafuasi wake watukujia juu hatari

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbee Kuna ka ukweli kuwa jamaa Ni wafuga majini .na Kwan watu kila Kaya isifuge jini lake ili liweze kuondoa umaskini visiwani humo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio kila mtu anauwezo huo na hayo madude yanachagua watu na watu..

Na wapemba wengi ndio kazi zao hizo wanatembea hadi oman huko kwenda kufanya mishe hizo za madudu hayo
 
Uncle mura UMUGHAKA umesema ulikaa kuangalia liTv la Ally Mpemba ndipo kelele zikaanza huko kwenye chumba cha misukule ambamo umesema kulikuwa na kitanda kilichotandikwa vizuri sana
Wee si kaka muarabu alikufuga na Kisha kukubadilishia jinsiaa unafanya nn humu au kwa vile muarabu mumeo katajwa Happ umekimbiambio mbio

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sio kila mtu anauwezo huo na hayo madude yanachagua watu na watu..

Na wapemba wengi ndio kazi zao hizo wanatembea hadi oman huko kwenda kufanya mishe hizo za madudu hayo
Wapuuzi kumbee basi ngoja tumsikilize huyu kijan atakuja kuhitimisha VIP safar ya kulal siku tano kwa mtu mwenye majini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom