Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wakurya na majina ya kiingereza wapi na wapi, we mtajie tu jina lako ni 'Demu wangu' atalijua faster jina lako.Afu huyo bro sijui kama anajua hata jina langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakurya na majina ya kiingereza wapi na wapi, we mtajie tu jina lako ni 'Demu wangu' atalijua faster jina lako.Afu huyo bro sijui kama anajua hata jina langu
Weeeeeeh thubutu yani sie hatukufunzwa utovu wa nidhamu. Sie tumefunzwa nidhamu haswaaa si ndio ccy To yeye
haya mueleze, ulikuwa unasema Nini??😂🤣🤣🤣🤣🤣
Me sikumbuki kabisahaya mueleze, ulikuwa unasema Nini??😂🤣
Aah kumbe mbiliWee mie dakika 2 bwana sio 1
Ndio dakika mbili mrembo....nikipiga round zangu nne inatoshaAah kumbe mbili
Mhhhhhh haya sawaNdio dakika mbili mrembo....nikipiga round zangu nne inatosha
Chizi Maarifa amekula ban
Maandishi tu yanatosha lvNiwathibitishie kwa picha au maandishi? Et kipenzi