Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Unaweka neti ila unailegeza analala nje ya neti, tena siku nsipoweka neti nkuta pembeni yangu katulia ila akiamka na anataka attention ujue utaamka tu🤣🤣🤣
kuna moja lilikua kubwa hilo orange,lina wivu balaa kila nikienda kutafuna mbususu basi litantia ubusy usio na maendeleo.
sasa unakuta uko katikati ya game linagonga mlango linafungua linazama ndani myaoo,myaooo
linarukia kitandani linakaa katikati myaaaoo.
mpaka kulitoa
stimu inakata kabisa
Ashakufa,rip orange🙁
 
Uaimkate kucha atashindwa kupanda juu ya mti hasa bahati mbaya akitoka nje na wewe haupo na unafuga mbwa pia utakuta maiti
Ni kweli unachokisema ila naongelea paka ambae niwa ndani tu, actually me nafuga mbwa na paka ni washkaji kiroho safi kwahiyo haina haja ya kuparamia Miti

Paka waga ana tabia ya Ku scartch vitu ili kuweka harufu yao,kunoa kucha,kuonesha hisia zao nk, kwahiyo kama humkati kucha atakuwa anaharibu vitu vingi kwa kukwangua hivo kama ni paka wa ndani itafika hatua utamkata tu kucha no way out
 
Ni kweli unachokisema ila naongelea paka ambae niwa ndani tu, actually me nafuga mbwa na paka ni washkaji kiroho safi kwahiyo haina haja ya kuparamia Miti

Paka waga ana tabia ya Ku scartch vitu ili kuweka harufu yao,kunoa kucha,kuonesha hisia zao nk, kwahiyo kama humkati kucha atakuwa anaharibu vitu vingi kwa kukwangua hivo kama ni paka wa ndani itafika hatua utamkata tu kucha now way out
Kwakua wako ni in door tu sawa mi wangu anatoja hadi nje na kucheza hasa mida ya mchana kwaio siwezi kumkata kucha hayo mambo ya kunoa kucha anafanyia huko nje
 
Ili kupoteza muda tutajiane nyuzi zinazoendana na hii ili tuzidi kubaini Siri za ufamle wa Giza Kuna uzi mmoja mzuri Sana MIKASA YA AJABU NILIYOYASHUHUDIA KATIKA MAISHA YANGU.kwa bahati mbaya nayo haujaisha bado

 
Labda,mi nilibeba gongo km la kuchezea golf nikajua pigo moja tu ataundee.
Nikafunga mlango
Aah wapi alikwepa zote,na kuna mda aliruka akanasa juu ukutani akajiachia akaruka huku ananiface usoni kucha miguu zinakuja machoni sijui nilikwepaje,ila.nilifungua mlango mwenyewe aondoke.
Aligoma ,akahama badae sana baada kuona nimemchunia
We ulitaka kuumia,paka ni mnyama mmoja hatar sana,sio wa kujifungia nae ndani akiwa amekasirika
 
Back
Top Bottom