The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Haya shusha hizo episodes basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello [emoji112]Asante Mkuu [emoji120]
UMUGHAKA aliandika.. Jitahidini kuwa waelewa basiHaya shusha hizo episodes basi
Wewe jamaa umesoma hadi darasa la ngapi?Unataka kujiua mkuu au sijakupata
Ona ng'ombe hii[emoji15]Mda ulioutumia kuandika si ungeandika EPISODE YA 21
Kwani kutoa taarifa mpaka ufatwe pm si ungeliandikaga hapahapa watu mnapenda uboss sana.
Ukimchalenji anaanza matusi..utadhani alitumwa atuletee hadithi,anashindwa kuheshimu jukwaa angewahadithia hao boda boda wenzake[emoji1745]
Mhmm watu wasiojulikana nimeogopaUMUGHAKA usipoteze muda kwa kuwapa kiki mjini watu wasiojulikana..
We nae sawa na Rehema tu😅😅😅
Njoo inbox😋😋Episode 20 iko page gani wadau
?
Ohooo mkuu unaupiga mwingi sana shukranAsante sana bestttttt lol ngoja nisome sasa!!! wapiii Pendaelli Saint Anne Lovelovie Wigelekelo Doctor G dr namugari mafian Cartel @Santos06 Restless Hustler National Anthem
Barikiwa sana mkuu
Rudi post #4267Episode 20 iko page gani wadau
?
Umughaka wewe ni pimbi acha kutuzuga kwanini usiandike hata epsoni ya 23 ndipo ufanye mambo yakoWewe bila shaka unataka niwe mume wako,yaani niache kufanya shughuli zangu nishinde kutwa JF ili nikufurahishe wewe mpumbavu mmoja!
USHAURI
Usipende kumfanyia mwenzio jambo ambalo wewe usingependa abadani kufanyiwa.
Kuna muda huwa napitia komenti za watu humu ndani nakuta ni lugha chafu za matusi,dhihaka,dharau na kebehi kwangu au kwa watu wengine.Sasa sielewi ni hii stori tu ndiyo inaleteleza hayo yote au uenda kuna ajenda nyuma ya pazia.
Mimi nilipoamua kuleta simulizi zangu hapa nadhani nia na madhumuni ni kutoa funzo,kuelimika na kuburudisha wenye misongo,hakuna mahali nimewahi kusema nitaleta episode muda gani na saa ngapi!.
Hivi mmewahi kujiuliza swali tu la kawaida ya kwamba kwanini stori nyingine nilikuwa nikiandika mfululizo kila siku episode?,kwanini baadhi yenu muishie kutukana bila kunifata dm na kuniuliza nimepatwa na nini?,au dm ni mbali sana?,au mnadhani matusi ndiyo suluhisho?.
Mbona kuna watu kadhaa wamenifata dm wameniuliza ni kitu gani kimesababisha siweki episode mfululizo nikawajibu wakaridhika?,Ndugu zangu hii platform walioibuni waliumiza vichwa,walipoteza muda na gharama zao wakiwa na lengo la kuwakutanisha watanzania na wasio watanzania kwa wakati mmoja ili kubadilishana mawazo na kuelimika kwa namna moja ama nyingine,ila sisi leo badala ya kueleimika ndipo tunazidi kuwa wajinga na tunachukulia poa kama ilikuwa lazima,mtu anapofanya kitu kizuri apongezwe na anapokosea akosolewe na aulizwe kwanini amefanya hivyo na wala si matusi kwasababu hayatosaidia kitu.
Simulizi zangu zote nimekuwa nikisimulia eidha nikiwa kijiweni au nikitoka kijiweni nikiwa home nimepumzika,sasa huu ni mwezi January na kama mnavyofahamu ni muda wa kilimo,hivyo na mimi sikuwepo na nadhani niliwaambia nitakuwa mkoani Mbeya,na huko nilienda kwa ajili ya mambo mengine lakini kilimo kikiwa ni sehemu moja wapo ya uwekezaji wangu,sasa kama mjuavyo kilimo kinavyotaka umakini na muda,ndiyo maana nilipokuwa nikipata muda naendelea japo kwa episode moja lakini watu bado hawaridhiki wanaendelea kutukana tu!.
Jamani,kama nyie wenzangu mnakazi za maofisini na muda wote mnataka kuperuzi basi hongera kwenu,mimi ni mpambanaji na ndiyo maana mwaka huu nikasema niwekeze angalau na kwenye kilimo na ndiyo muda wa kuandika nilikuwa nakosa,tuache kuwa tunalalamika na kutukana kwasababu haitusaidii bali inashusha heshima na kutufanya kuonekana hatuna uelewa.
Pia nadhani JF kuna "buton" ya IGNORE/BLOCK,ni vema kama unafikiri nakukera,nakuudhi,nakufedhehesha ukabinya hiyo button ili uwe huru usiweze kunifatilia angalau ukawa na amani kuliko kuendelea kuishia kutukana tu bila sababu ya msingi,pia hapa JF sikufata followers au kura za mwandishi bora kama wengi wenu mnavyodhani,nimeanza kuandika huu uzi hata kabla ya hizo kitu na hakuna mahali nimewahi kumuomba mtu au kimlazimisha anipigie kura,ni watu waungwana na wenye mapenzi mema na mimi ndiyo waliona nafaa wakanipigia kura,sihitaji umaarufu hapa kwasababu sipendi kuwa maarufu,sihitaji hata thumni ya mtu kwasababu ninachokipata kinanitosha na naridhika,hivyo niwaombe ambao mnaona nawakera mnaweza kupita kimya kimya bila matusi na mkawaacha wale wanaotaka kuelimika na kuburudika,siyo kwamba wewe hutaki uwalazimishe na wengine wakuunge mkono kwenye ujinga wako.
Umeikuta EPISODE soma,hujaikuta kausha na endelea na mambo yako,sidhani kama utapungukiwa!.
NOW NIPO MJINI,KILA SIKU NITAKUWA NASHUSHA EPISODE HADI ITAKAPOISHA,LABDA NIFE LEO USIKU.
Ni hay sawa tumekusikia mkuu kama huna muda na coment usisome bac
jibu boya wewe unataka kuolewa na masta?Mbona ww unashinda Jf kila siku au unadhani hatukuoni,niwe mke wako kwani hujatosheka na ilo zukule lako..acha kutisha watu na kama ukitaka kusitisha uzi wako sitisha tu mpuuzi [emoji23]
wewe boya umetumwa usome au unashoboka tu kwa wanaume, utaliwa oohooKimsingi wew bado mshamba,yaani watu wote tukufuate PM,kwanini hukusema hapa hapa kama ulivyoenda mbeya ulisema hapa na watu tukakuelewa,unakuwa na kiherehere cha kuanzisha story afu mwisho wasiku ikikosea watu wakikuchalenji kidogo tuu unaanza kupwayuka...maliza story kama ulivyoianza,kama hutaki achana nayo hakuna mtu alikuomba hapa ni wewe na kiherehere chako cha kuleta story hapa
wewe boya umetumwa usome au unashoboka tu kwa wanaume, utaliwa msambwanda huo oohooKimsingi wew bado mshamba,yaani watu wote tukufuate PM,kwanini hukusema hapa hapa kama ulivyoenda mbeya ulisema hapa na watu tukakuelewa,unakuwa na kiherehere cha kuanzisha story afu mwisho wasiku ikikosea watu wakikuchalenji kidogo tuu unaanza kupwayuka...maliza story kama ulivyoianza,kama hutaki achana nayo hakuna mtu alikuomba hapa ni wewe na kiherehere chako cha kuleta story hapa
wewe boya umetumwa usome au unashoboka tu kwa wanaume, utaliwa msambwanda huo oohooKimsingi wew bado mshamba,yaani watu wote tukufuate PM,kwanini hukusema hapa hapa kama ulivyoenda mbeya ulisema hapa na watu tukakuelewa,unakuwa na kiherehere cha kuanzisha story afu mwisho wasiku ikikosea watu wakikuchalenji kidogo tuu unaanza kupwayuka...maliza story kama ulivyoianza,kama hutaki achana nayo hakuna mtu alikuomba hapa ni wewe na kiherehere chako cha kuleta story hapa
Pamoja mama angel leo nimechungulia kabla yako,utakuja nyang'anywa mume na house girl! 🙂Asante sana Dr