IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,915
- 5,233
RATCO EXPRESSHata mimi nasafiri upo kwenye bus gani?
T 736 EAT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RATCO EXPRESSHata mimi nasafiri upo kwenye bus gani?
USHAURI
Usipende kumfanyia mwenzio jambo ambalo wewe usingependa abadani kufanyiwa.
Kuna muda huwa napitia komenti za watu humu ndani nakuta ni lugha chafu za matusi,dhihaka,dharau na kebehi kwangu au kwa watu wengine.Sasa sielewi ni hii stori tu ndiyo inaleteleza hayo yote au uenda kuna ajenda nyuma ya pazia.
Mimi nilipoamua kuleta simulizi zangu hapa nadhani nia na madhumuni ni kutoa funzo,kuelimika na kuburudisha wenye misongo,hakuna mahali nimewahi kusema nitaleta episode muda gani na saa ngapi!.
Hivi mmewahi kujiuliza swali tu la kawaida ya kwamba kwanini stori nyingine nilikuwa nikiandika mfululizo kila siku episode?,kwanini baadhi yenu muishie kutukana bila kunifata dm na kuniuliza nimepatwa na nini?,au dm ni mbali sana?,au mnadhani matusi ndiyo suluhisho?.
Mbona kuna watu kadhaa wamenifata dm wameniuliza ni kitu gani kimesababisha siweki episode mfululizo nikawajibu wakaridhika?,Ndugu zangu hii platform walioibuni waliumiza vichwa,walipoteza muda na gharama zao wakiwa na lengo la kuwakutanisha watanzania na wasio watanzania kwa wakati mmoja ili kubadilishana mawazo na kuelimika kwa namna moja ama nyingine,ila sisi leo badala ya kueleimika ndipo tunazidi kuwa wajinga na tunachukulia poa kama ilikuwa lazima,mtu anapofanya kitu kizuri apongezwe na anapokosea akosolewe na aulizwe kwanini amefanya hivyo na wala si matusi kwasababu hayatosaidia kitu.
Simulizi zangu zote nimekuwa nikisimulia eidha nikiwa kijiweni au nikitoka kijiweni nikiwa home nimepumzika,sasa huu ni mwezi January na kama mnavyofahamu ni muda wa kilimo,hivyo na mimi sikuwepo na nadhani niliwaambia nitakuwa mkoani Mbeya,na huko nilienda kwa ajili ya mambo mengine lakini kilimo kikiwa ni sehemu moja wapo ya uwekezaji wangu,sasa kama mjuavyo kilimo kinavyotaka umakini na muda,ndiyo maana nilipokuwa nikipata muda naendelea japo kwa episode moja lakini watu bado hawaridhiki wanaendelea kutukana tu!.
Jamani,kama nyie wenzangu mnakazi za maofisini na muda wote mnataka kuperuzi basi hongera kwenu,mimi ni mpambanaji na ndiyo maana mwaka huu nikasema niwekeze angalau na kwenye kilimo na ndiyo muda wa kuandika nilikuwa nakosa,tuache kuwa tunalalamika na kutukana kwasababu haitusaidii bali inashusha heshima na kutufanya kuonekana hatuna uelewa.
Pia nadhani JF kuna "buton" ya IGNORE/BLOCK,ni vema kama unafikiri nakukera,nakuudhi,nakufedhehesha ukabinya hiyo button ili uwe huru usiweze kunifatilia angalau ukawa na amani kuliko kuendelea kuishia kutukana tu bila sababu ya msingi,pia hapa JF sikufata followers au kura za mwandishi bora kama wengi wenu mnavyodhani,nimeanza kuandika huu uzi hata kabla ya hizo kitu na hakuna mahali nimewahi kumuomba mtu au kimlazimisha anipigie kura,ni watu waungwana na wenye mapenzi mema na mimi ndiyo waliona nafaa wakanipigia kura,sihitaji umaarufu hapa kwasababu sipendi kuwa maarufu,sihitaji hata thumni ya mtu kwasababu ninachokipata kinanitosha na naridhika,hivyo niwaombe ambao mnaona nawakera mnaweza kupita kimya kimya bila matusi na mkawaacha wale wanaotaka kuelimika na kuburudika,siyo kwamba wewe hutaki uwalazimishe na wengine wakuunge mkono kwenye ujinga wako.
Umeikuta EPISODE soma,hujaikuta kausha na endelea na mambo yako,sidhani kama utapungukiwa!.
NOW NIPO MJINI,KILA SIKU NITAKUWA NASHUSHA EPISODE HADI ITAKAPOISHA,LABDA NIFE LEO USIKU.
Ni hayo.
Well said madam [emoji253][emoji253]Nahisi hawa wanaokashifu humu ni vijana washamba washamba hawana sifa za kiume...wanaume waliokamilika hawawezi kuwa na midomo mirefu hivyo na kutukana pasipo na sababu....
Huu mwandiko... [emoji848][emoji848]sehemu ya 21
Basi bwana,baada yakuona kwa macho yangu Farah alichokifanya,yaani kuingia chumbani kwa kaka yake bila kutumia ufunguo kama malaika,majini na wachawi wafanyavyo nilibaki kinywa wazi huku nikitafakari mimi ni mtu wa aina gani kukubali kuishi mazingira yaliyozungukwa na miujiza kama sio mauza uza
Nikakumbuka vile visa vya wachawi kule kwa baba mdogo headmaster, nikakumbuka kisa cha kuvua kule kambini kwa shemeji yangu ambako walikuwa wakifanya ushirikina wazi wazi nikiwashuhudia,tena nakumbuka kuna siku walimchinja mtoto ziwani huku nkishuhudia eti ili wapate samaki wengi
Nikakumbuka visa vya kipindi kile niko jambazi,jinsi nilivyopelekwa kwa mganga tukalimia meno mimi na msela wangu Mutatiro,nikakumbuka visa nilivyofanyiwa na mjomba Niko
Nikabaki tu nimeinamisha kichwa chini nikijiuliza ni ipi sababu ya mwenyezi mungu kuruhusu umughaka aje Duniani
Nikataka nifungue mlango ili niende kulala kule chumbani kwa Ally lakini nikapata hofu kuu kwa kutokujua aunt Farah atakuwa amepachikamo zana gani mpya nikafikia maamuzi ya kwenda kulala kwenye Audi yangu
Nilipofungua tu mlango wa gari ili nilale du sikuyaamini macho yangu kwa nilichokiona
Niliikuta ila shuka tuliyoitandika kitandani wakati nampelekea moto huyu Dada yake ally ikiwa imetandikwa kwenye siti za nyuma za gari.Nikabaki nimeduwaa tu nisijue kipi cha kufanya maana ndani hakulaliki na kwenye gari hakulaliki.Wakati nikiwa bado kwenye hiyo hali ya kuduwaa mara nikasikia sauti kama ya maya akiniita kwa jina langu la ulisyani(utotoni),mung'osi,mung'osi Maya akawa anaita nikaamua kupiga kimya lakini akawa sasa anaanza kugonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna kitu kinamuogopesha kukaa peke yake humo kwenye limjumba la kake yake mjalaana
Nikawa kama nimepatwa na ukichaa wa dakika mbili hivi,nikakimbilia kule mlangoni anakogonga maya tena nikarudi kule kwenye Audi yangu kwa speed ya bombardier (hili zoezi nililifanya mara kumi na mbili).Kiukweli nilikuwa kwenye state of confusion ambayo sijawahi kuwa nayo toka nizaliwe mimi umughaka
Baada ya kuona kelele za maya kugonga mlango ndio zimezidi na sasa alikuwa akilitaja jina langu la utoto kama vile mtu amtajavyo jina la bwana yesu ili amuokoe pindi akunapo na pepo mchafu,nikawa nimepata ujasiri wa ajabu sana,nikaamua niende niufungue tu mlango nimkamate maya na kumfungia huko huko chumbani kwake,halafu niende kule chumbani kwa bro Ally mpemba nikaangalie yule msagane(Farah) aliweka nini kisha nisubirie kitakachotokea maana haiwezekani niwe muoga kiasi hiki wakati nilitahiriwa bila ganzi wala nusu kaputi.Huyo mnyama umughaka nikajivisha ukomandoo na kuanza kuuelekea mlango wa nyumba,wakati nimekaribia kabisa kuufikia mlango nikasikia sauti za makelele ya maya zimekoma na kumekuwa na ukimya wa ajabu sana kana kwamba hakuna kilichotokea nikabaki nimeduwaa nisijue cha kufanya.Nikaamua tu nirudi kule kwenye Audi yangu niwashe AC nilale,kitu msichokijua wapenzi wasomaji licha ya kuwa mpenzi mkubwa wa soka vile vile mimi ni mpenzi mkubwa sana wa AC kiasi kwamba kuna kipindi hata sasa hivi nikiwa naendesha bodaboda huwa nalazimika kwenda dukani kwa Ally na kumlilia aniruhusu niingie kwenye ile Range yake ili japo nipate starehe ya AC hata kwa robo SAA tu jamani
Nikaiendea ile Audi yangu na kuufungua mlango kijasiri kabisa eti nikakuta ile shuka bwana aimo,nikaingia ndani na kuwasha AC kisha mwanaume nikalala huku nikifikiria kesho niende kule kwa kiheli nikamdorishie hili liaudi langu halafu baadae niende kule kwa yule muuza juice ninywe juice ya 20000 ili nione kama atanikubali haraka na mimi nijilie mzigo bwana kwani sh ngapi
Itaendelea
Sasa kwani lazima story yake sio yako mnamtukana halafu mdai haki hii sio poa anzisha yake hajasema mumfuate amesema watu wanamfuata pmKimsingi wew bado mshamba,yaani watu wote tukufuate PM,kwanini hukusema hapa hapa kama ulivyoenda mbeya ulisema hapa na watu tukakuelewa,unakuwa na kiherehere cha kuanzisha story afu mwisho wasiku ikikosea watu wakikuchalenji kidogo tuu unaanza kupwayuka...maliza story kama ulivyoianza,kama hutaki achana nayo hakuna mtu alikuomba hapa ni wewe na kiherehere chako cha kuleta story hapa
Joblesssehemu ya 21
Basi bwana,baada yakuona kwa macho yangu Farah alichokifanya,yaani kuingia chumbani kwa kaka yake bila kutumia ufunguo kama malaika,majini na wachawi wafanyavyo nilibaki kinywa wazi huku nikitafakari mimi ni mtu wa aina gani kukubali kuishi mazingira yaliyozungukwa na miujiza kama sio mauza uza
Nikakumbuka vile visa vya wachawi kule kwa baba mdogo headmaster, nikakumbuka kisa cha kuvua kule kambini kwa shemeji yangu ambako walikuwa wakifanya ushirikina wazi wazi nikiwashuhudia,tena nakumbuka kuna siku walimchinja mtoto ziwani huku nkishuhudia eti ili wapate samaki wengi
Nikakumbuka visa vya kipindi kile niko jambazi,jinsi nilivyopelekwa kwa mganga tukalimia meno mimi na msela wangu Mutatiro,nikakumbuka visa nilivyofanyiwa na mjomba Niko
Nikabaki tu nimeinamisha kichwa chini nikijiuliza ni ipi sababu ya mwenyezi mungu kuruhusu umughaka aje Duniani
Nikataka nifungue mlango ili niende kulala kule chumbani kwa Ally lakini nikapata hofu kuu kwa kutokujua aunt Farah atakuwa amepachikamo zana gani mpya nikafikia maamuzi ya kwenda kulala kwenye Audi yangu
Nilipofungua tu mlango wa gari ili nilale du sikuyaamini macho yangu kwa nilichokiona
Niliikuta ila shuka tuliyoitandika kitandani wakati nampelekea moto huyu Dada yake ally ikiwa imetandikwa kwenye siti za nyuma za gari.Nikabaki nimeduwaa tu nisijue kipi cha kufanya maana ndani hakulaliki na kwenye gari hakulaliki.Wakati nikiwa bado kwenye hiyo hali ya kuduwaa mara nikasikia sauti kama ya maya akiniita kwa jina langu la ulisyani(utotoni),mung'osi,mung'osi Maya akawa anaita nikaamua kupiga kimya lakini akawa sasa anaanza kugonga mlango kwa nguvu sana kana kwamba kuna kitu kinamuogopesha kukaa peke yake humo kwenye limjumba la kake yake mjalaana
Nikawa kama nimepatwa na ukichaa wa dakika mbili hivi,nikakimbilia kule mlangoni anakogonga maya tena nikarudi kule kwenye Audi yangu kwa speed ya bombardier (hili zoezi nililifanya mara kumi na mbili).Kiukweli nilikuwa kwenye state of confusion ambayo sijawahi kuwa nayo toka nizaliwe mimi umughaka
Baada ya kuona kelele za maya kugonga mlango ndio zimezidi na sasa alikuwa akilitaja jina langu la utoto kama vile mtu amtajavyo jina la bwana yesu ili amuokoe pindi akunapo na pepo mchafu,nikawa nimepata ujasiri wa ajabu sana,nikaamua niende niufungue tu mlango nimkamate maya na kumfungia huko huko chumbani kwake,halafu niende kule chumbani kwa bro Ally mpemba nikaangalie yule msagane(Farah) aliweka nini kisha nisubirie kitakachotokea maana haiwezekani niwe muoga kiasi hiki wakati nilitahiriwa bila ganzi wala nusu kaputi.Huyo mnyama umughaka nikajivisha ukomandoo na kuanza kuuelekea mlango wa nyumba,wakati nimekaribia kabisa kuufikia mlango nikasikia sauti za makelele ya maya zimekoma na kumekuwa na ukimya wa ajabu sana kana kwamba hakuna kilichotokea nikabaki nimeduwaa nisijue cha kufanya.Nikaamua tu nirudi kule kwenye Audi yangu niwashe AC nilale,kitu msichokijua wapenzi wasomaji licha ya kuwa mpenzi mkubwa wa soka vile vile mimi ni mpenzi mkubwa sana wa AC kiasi kwamba kuna kipindi hata sasa hivi nikiwa naendesha bodaboda huwa nalazimika kwenda dukani kwa Ally na kumlilia aniruhusu niingie kwenye ile Range yake ili japo nipate starehe ya AC hata kwa robo SAA tu jamani
Nikaiendea ile Audi yangu na kuufungua mlango kijasiri kabisa eti nikakuta ile shuka bwana aimo,nikaingia ndani na kuwasha AC kisha mwanaume nikalala huku nikifikiria kesho niende kule kwa kiheli nikamdorishie hili liaudi langu halafu baadae niende kule kwa yule muuza juice ninywe juice ya 20000 ili nione kama atanikubali haraka na mimi nijilie mzigo bwana kwani sh ngapi
Itaendelea
Ata mimi nipo umo emu piga mayowe mkuu nijue ulipo kaaRATCO EXPRESS
T 736 EAT
What about you ?Jobless
[emoji16][emoji16][emoji16]Ata mimi nipo umo emu piga mayowe mkuu nijue ulipo kaa
Wanaume wachache sana hapa ndani wengi wao ni wenzetu.Nahisi hawa wanaokashifu humu ni vijana washamba washamba hawana sifa za kiume...wanaume waliokamilika hawawezi kuwa na midomo mirefu hivyo na kutukana pasipo na sababu....
Na mimi nina mashaka makubwa bestyWanaume wachache sana hapa ndani wengi wao ni wenzetu.
Mwanaume unakuta anampopoa mwenzake hadi unaogopaNa mimi nina mashaka makubwa besty
Yaani mtu anabisha kama alikuwepoMwanaume unakuta anampopoa mwenzake hadi unaogopa
RATCO EXPRESS
T 736 EAT
Nipo ndani ya hiyo busRATCO EXPRESS
T 736 EAT
[emoji86]Wanaume wachache sana hapa ndani wengi wao ni wenzetu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Wanaume wachache sana hapa ndani wengi wao ni wenzetu.
Hauendani na beatHuu mwandiko... [emoji848][emoji848]
Una uhakika?Wanaume wachache sana hapa ndani wengi wao ni wenzetu.