Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Asante sana kaka kwenye mgomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kaka kwenye mgomba
Utajiri una mengi sana, Kuna mzee mmoja namfahamu ana malori mengi tu yanayoenda Congo,,,,Sasa nitakua makini sana kuchunguza watu mikononi kama wamevaa bangiri au pete!!
Vipi hizi pete za kina Mondi lol!! Nimeogopa sana!
Am here babe,ngoja nitulize fuvu langu nisiache hata nukta
Mimi nilishawah muona mmoja tu tena ilikuwa 2015 alikuwa mdada,kipindi hcho mimi nilkuwa sjajiunga ila nilkuwa naperuzi threads bila kulog inIla kuna mmja zamani nadhani 2018 nilikutana nae oasisi hotel morogoro njemba tall ilikuwa imevaa pensi nilivoizoom iko jf nikakausha[emoji23][emoji23]ilikuwa karibu na swimming pool inawachora warembo wakiogelea
Humu kila mtu matawiMwingine alikuwa anauza vitu vyake na kupangisha chumba nikaenda kuangalia nyumba ile alikuwa anaenda nje ya nchi, ni bonge la mkaka hb kinoma, so smart kweli toka mwaka ule hajaingia jf tena hope anaendelea vizuri ughaibuni huko.
Mwingine mpaka leo hajui kama naijua ID yake ya huku hajui hata kama nipo JF alishare screenshot moja ikareveal ID yake. Kutwa anatuponda sana wanawake jamani wakati yeye mwenyewe eeh Mungu mshamba kweli. Kila siku pics zake amevaa kadeti, jezi ya arsenal na sendo za SUPREME. We mkaka mfyuuu zako JF anajidai matawi kweli.
Hahahaaa!! Hatari sana wewe unaenda dukani kumbe unahudumiwa na msukule au pesa anapokea mfu/ msukule😂😂😂😂😂!!Kariakoo sio sehem nzuri nimejikuta napaogopa
Ubarikiwe boss ledi 😍Lovelovie Antonio de Guzman Bantu Lady Wigelekelo Saint Anne huku kwetu kwetu mafian Carter Restless Hustler Doctor G Labani og leadermoe kiduku mpapaso Joannah Masta kashusha episode nyingine hukuuuuu!!🗣️🗣️
Hatari sana best!Utajiri una mengi sana, Kuna mzee mmoja namfahamu ana malori mengi tu yanayoenda Congo,,,,
Kuna shati Hilo habadilishi, nadhani linafuliwa usiku ama, halafu alishaachana na mkewe, Kuna tetesi anakula bintiye!
Pesa pesa pesa
Asante
Umenikumbusha, kama sikosei alianzia redio freeKama yule jamaa aliyesimulia kwenye kile kitabu cha "sitoisahau Gamboshi". Yaani alieleza vitu vingi sana hadi unajiuliza Huyu Mwamba anakichwa gani chenye uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu kiasi Hiki? Anyway waswahili walisema anayesàhu alipotoka hajui anapokwenda.
Kwenye wengi kuna mengiIla Mimi ninachojua kariakoo Kuna population tosha, hivyo biashara inajibeba hata bila ushirikina .
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Asante sana madam [emoji253] [emoji253]. Ngoja nisonge nayoLovelovie Antonio de Guzman Bantu Lady Wigelekelo Saint Anne huku kwetu kwetu mafian Carter Restless Hustler Doctor G Labani og leadermoe kiduku mpapaso Joannah Masta kashusha episode nyingine hukuuuuu!![emoji2788][emoji2788]
Kumbe antonnia ni wachuMbae ndamubhehela wiwachu nva iyo nyene! Igasulo!
SipitiWe nae si upite kimya kimyaa mfyuu
Mpitie tuu mkuu si amekuruhusu?Sipiti