Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Sahihi lakini pia hawa jamaa kwenye ulimwengu wao wa roho wakishakuchoka watakutengenezea zengwe ili ushindwe kutimiza masharti.

Kama unakumbuka magere aliambiwa alipe gharama kwa kumtoa kafara mkewe na hiyo ni baada ya mkewe kumpa funguo dada wa kazi asafishe kile chumba ambacho magere aliambiwa haitakiwi mtu yeyote kuingia humo isipokua yeye tu.

Kuna namna hawa jamaa wanakusahaulisha, si unakumbuka magere alivyosahau ile funguo hadi mkewe akaiona na kumpa dada wa kazi akafanye usafi kweye ile room. From there magere akatakiwa amtoe mkewe na aligoma mwisho mke wakamuua kwa ajali ya kimazingira.

Hii dunia ina mambo meusi hatari
Kabisa mkuu hizo mistakes I guess hazitokei kwa bahati mbaya yani ni kitu kama Predetermined flan hivi kwa sababu ukiangalia hata wahusika wenyewe wanajikuta hawaelewi ilikuwaje kuwaje wanapuyanga kwa kufanya mistakes kizemmbe hivyo magere alibugi kizembe kabisa ikamgharimu pakubwa sana UMUGHAKA nae same story yani easily anajipiga bastola mwenyewe 😂😂😂 eti kisa rehema tu though inaonekana ilipangwa tu azingue hivyo labda ili akione cha moto.
Aisee haya mambo ni magumu sana kiukweli.
 
Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani - 19.



Nilijifanya nimepitiwa na usingizi huku nikiendelea kumtizama Zahra kwa kuibia; baada ya kufika karibu na kitanda alipanda kitandani huku akiwa uchi kama alivyozaliwa!. Sikutaka kabisa kupoteza muda maana Ally Mpemba aliniambia akisha panda kitandani kazi yangu ni kumshughulikia kisawasawa!.

Niliamka taratibu nikavua boxa ambayo nilikuwa nimevaa na singlendi kisha nikarudi kitandani, kiukweli sikuelewa nitaanza vipi kusimamisha uume kwasababu Zahra alikuwa na harufu kali ambayo ilisababishwa na yeye kutokuoga muda mrefu huku sehemu zake za siri zikiwa zimefunikwa na nywele(mavuzi)za kutosha!, nilisogeza mkono nikamshika ili nione kama anaweza kuwa mkali lakini nilipomshika aliendelea kuwa kimya, niliendelea kumshika huku nikimtizama yule mwanamke na kujikuta namvutia picha ya ngono kwa haraka ndipo uume ukasimama kwa haraka kama nyoka aina ya koboko aliyeona hatari na kujiandaa kuikabili, kiukweli baada ya uume kusimama nilimsogelea na kuinyanyua miguu yake kisha nikamchomekea uume taratibu na bila kizuizi ulizama wote nikaanza kumkimbiza mchakamchaka bila huruma!.

Baada ya kumzamishia fimbo ya mnyonge isiyokuwa na huruma hata kidogo, ile harufu kiukweli ni kama nilianza kuizoea huku akili yangu ikimezwa na tamaa ambayo ilifanya nikamuona Zahra(Maya) kama mwanamke wa kawaida wa kiarabu asiyekuwa na tatizo lolote. Hali haikuwa nzuri ni vile tu nilikuwa nina tamaa ya pesa ndiyo ilipelekea mimi kufanya vile.

Niliendelea kumkung'uta Zahra kwa hasira kana kwamba alikuwa ni mwanamke ambaye nimewahi kumtumia nauli akala akashindwa kutokea sasa alipokuja nilipanga nimuonyeshe namna ambavyo watu tuliozoea kula ugali wa uwele na mtama tulivyokuwa na hasira dhidi ya wanawake wala nauli na wenye viherehere wasemao "Tuma na ya kutolea".

Baada ya kufika mlima Kilimanjaro nilitaka kushuka ili angalau nipumue kumbe haikuwa kama nilivyodhani, nilipotaka kuchomoa uume kwenye uke wa Zahra nilijikuta siwezi kwakuwa alikuwa amening'ang'ania kwa nguvu ambazo hazikuwa za kawaida, sikuwa hata na uwezo wa kushindana nae kwakuwa nguvu alizokuwa nazo hazikuwa za kawaida, nilikuwa mpole huku nikiendelea kusukuma taratibu nikitafuta nguvu za kuuanza upya mchaka mchaka!

Baada ya uume kusimama tena niliendelea kumsukumia nyama hadi aliponiachia huku akionekana kulifurahia tendo, baada ya kuona ameanza kuelewa nilichokuwa namfanya niliamua kumgeuza na kuanza kumshughulikia kwa hasira na uchu mwingi, japokuwa hakuwa na akili kama wanadamu wengine lakini uzuri wa yule mwanamke haukupotea, ulikuwa ukimuangalia uligundua kabla ya kuwa alivyokuwa alikuwaga mwanamke mzuri sana! Kiukweli ile staili ya kumgeuza nyuma niliipenda sana na ndiyo nilieendelea kuifanya hadi asubuhi bila kuchoka kwasababu nilikuwa nikimaliza ninapomshika matako koboko anasimama nakumchomekea kisha kazi inaendelea!.

Kule kwenye kile chumba hakuja kulala bali alifata mbolo na mimi sikuwa na hiyana nilimpatia alichokifata.

Ilipofika asubuhi mida ya saa 12 alinyanyuka mwenyewe akaondoka kuelekea chumbani kwake alikokuwa akikaa, mimi niliamka nikatoka kwenda kukifunga chumba chake kisha nikaingia bafuni kuoga. Nilipotoka kuoga nilitoa lile shuka nililolalia na Zahra nikalipeleka kulifua kisha nikaweka shuka jingine.

Baada ya kumaliza shughuli za hapo nyumbanj kwa Ally Mpemba niliamua kwenda zangu Kkoo kuendelea na kazi yangu ya usajili wa line za simu. Kwakuwa ilikuwa Jumamosi, nilipanga nikafanye kazi masaa machache kisha niondoke zangu kuelekea nyumbani kubadili nguo na kujiandaa kwa mambo mengine, siku hiyo sikupita kabisa pale ofisini Buguruni, sasa nilipofika Kkoo nilielekea mahali ambapo nilikuwa natunza vitu vyangu, baada ya kuvichukua niliondoka kueleka sehemu ya kazi, nilipofika muda huo lile duka la Ally Mpemba ambalo mara nyingi alikuwa akiuza dada yake aitwaye Farah lilikuwa bado halijafunguliwa, haikuwa kawaida kukuta lile duka muda huo wa saa 3 kuelekea saa 4 ukute likiwa limefungwa, mimi kama kawaida nilifungua biashara yangu pale na nikaanza kupiga kazi!.

Ilipofika mida ya saa 5 asubuhi nikiwa napiga kazi, sasa nikiwa sina hili wala lile kutokana na ubize, mara ghafla nilisikia sauti ya mwanamke ikinisalimu kwa sauti ambayo haikuwa ya kawaida, nilinyanyua shingo na kumtazama yule mwanamke kumbe alikuwa ni Aunt Farah, dada yake na Ally Mpemba, yeye mara zote alikuwaga akivaa Nicab(Vazi nadhifu lililofunika sura yake).


Mimi "Ooh Aunt Farah, umenishitua!"

Farah "Umeshituka na nini?"

Mimi "Sijui hata nilikuwa nawaza nini!"

Farah "Haya bana, umeamkaje lakini?"

Mimi "Niko poa kabisa, sijui za huko utokako!"

Farah "salama"

Aliendelea "Nilijua utapumzika leo"

Mimi "Ahaa hamna, kama sina tatizo tu la kuniweka nyumbani siwezi kupumzika maana hii kazi hainaga wikiendi!"

Sasa wakati naongea nae yeye alikuwa akiendelea kufungua geti la duka lake, kama mtakumbuka hapo awali niliwaambia ya kwamba, nilikuwa nikifanya biashara zangu kando ya lile duka la Ally Mpemba lililokuwa likitazamana na ambayo leo ni stendi ya Mwendokasi(Kituo cha Gerezani).

Mimi "Leo umechelewa sana hadi nikahisi hufungui!"

Farah "Kuna mahala nilikwenda ndiyo maana nilichelewa"

Mimi "ooh sawa!"

Baada ya mazungumzo mafupi niliendelea na kazi yangu kama kawaida huku wateja wakija mmoja mmoja, kiukweli yule dada sikuwahi kumuona usoni namna alivyo na namna alivyokuwa akifanana! Nilitamani sana siku moja nimuone ili niweze kumfananisha na yule mwanamke aliyetolewa kafara na Ally Mpemba ambaye kwa mujibu wake alikuwa dada yake (Zahra/Maya).

Nilitamani kumuona na kupata uthibitisho kama wanafanana kwa maana walikuwa ni ndugu.

Ilipofika mida ya saa 7 mchana mimi ilibidi nichukue vitu vyangu na kuanza kuvikusanya ili nivirudishe nilikokuwa navihifadhi niweze kwenda nyumbani, kiukweli kwa wakati huo hata utendaji wangu wa kazi haukuwa mzuri kama mwanzo kwakuwa nilikuwa nina pesa ya kutosha hivyo ile kazi nilikuwa ninaifanya angalau nisiweze kukaa tu nyumbani bure. Mara zote ambapo huwa nikiondoka nilikuwaga namuaga Aunt Farah maana nilimzoea kama vile ndugu yangu, sasa kuna jambo ambalo baada ya kumuaga ni kama lilinishitua.

Mimi "Sister mi nakuacha mara moja tutaonana Jumatatu!"

Farah "Mbona mapema sana leo?"

Mimi "Nimechoka tu nahitaji nikapumzike!"

Farah "Sawa mwanaume wa bara mwenye nguvu zake"

Mimi niliondoka zangu bila kumzingatia maana mara zote amekuwa akinitania kwa majina mbalimbali hivyo sikujali.

Nilipofika nyumbani ile nimeingia ndani ya chumba changu cha kulala nilishituka sana baada ya kutazama kitandani na kukuta ile shuka ambayo niliitoa pale kitandani kwa Ally Mpemba baada ya kumkung'uta Maya fimbo za kutosha, kiukweli nilishangaa sana ni nani alikuwa ameifikisha ile shuka pale nyumbani kwasababu baada ya mziki ule wa usiku kucha niliamua kuibadili ili kuweka shuka safi. Nilisogea hadi kitandani nikalitoa lile shuka, cha ajabu hata nililokuwa nimelitandika hapo awali lilikuwa limetolewa na kuwekwa kwenye nguo chafu kana kwamba kuna mtu mle ndani ndiye alifanya vile!.

Baada ya kulitoa nilitandika shuka nyingine safi, nilielekea bafuni kuoga upya ili nirudi nibadili nguo nikiwa na lengo la kuondoka kwenda kuchukua mchuma(Audi )ili nielekee ununio kwa Anko,sasa ile nimetoka bafuni kupiga maji, nilikuta tena lile shuka likiwa limetandikwa kama mwanzo, kiukweli nilitoka mle chumbani kwa haraka nikiwa mwenye hofu kuu, nilisimama pale sebuleni kwa muda nikiwa niNatafakari ni kitu gani kinaendelea, baada ya dakika kadhaa nilirudi chumbani kwa ujasiri kisha nikavaa nguo na kuondoka, lengo ilikuwa ni kwenda hadi Kkoo kwa Aunt Farah ikiwezekana amtafute Ally ili niweze kuzungumza nae maana ile hali sikuielewa kabisa!.

Baada ya kufika Kkoo cha ajabu nikakuta Aunt Farah naye kafunga duka na sikufahamu alipoelekea!. Niliondoka hadi kwa Ally Mpemba Magomeni, nilipofika nilifungua nyumba na kuingia ndani moja kwa moja hadi kwenye chumba alichokuwa akilala jamaa, nilipofungua mlango na kuingia ndani nilikuta tena lile shuka ambalo nimeliacha nyumbani kwangu likiwa limetandikwa kitandani mara hii tena likiwa limetandikwa kitandani kwa Ally Mpemba, kumbuka hii shuka ni ile ambayo niliibadili baada ya kumkung'uta Maya stiki za kutosha ule usiku. Kiukweli nilibaki nikishangaa sana, sasa nilichoamua ni kutoka nje na kuchukua ile gari na kuondoka zangu.

Niliondoka kuelekea Ununio kwa Anko Nico kuwasalimu lakini lengo langu lilikuwa ni lile lile la kuwaringishia ili waone yale waliyokuwa wakizungumza kuhusu mimi hawakunitendea haki. Nilipofika nyumbani kwa Anko nilipiga honi bahati nzuri geti likafunguliwa na kijana mmoja ambaye sikumfahamu, niliingiza gari hadi ndani kisha nikateremka.

Mimi " Mambo vipi "

Jamaa "Safi "

Mimi "kwema?"

Jamaa "Kwema kabisa"

Mimi "Humu ndani wapo kweli?"

Jamaa "Yupo dada Rebecca nadhani"

Niliingia ndani hadi sebuleni kisha nikaa kwenye sofa, kuna mtu bila shaka alikuwa akitazama filamu za kifilipino pale sebuleni lakini baada ya kusikia naingia ndani aliondoka akaelekea chumbani, ile picha niliisoma maana nilikuta luninga ikiwa imewashwa na kwa muonekano tu niligundua kulikuwa na mtu amekimbilia chumbani baada ya kusikia naingia ndani. Baada ya dakika 10 alitoka binti wa Anko Nico ambaye ni mkubwa aliyeitwa Rebecca.

Rebecca "Ooh binamu"

Aliendelea "Karibu!"

Mimi "Ahsante, za hapa"

Rebecca "Nzuri, za utokako!"

Mimi "Huko tuko poa"

Mimi "Mbona nyumba imepoa sana, uko mwenyewe nini!"

Rebecca "Si unajua tena wengine wameenda kanisani!"

Mimi "Oooh aisee hata sikujua "

Mimi " Wanasali mbali?"

Rebecca "Eeeh ni mbali kidogo maana kuna makambi ndiyo wako huko!"

Mimi "Sawa, mimi nilipita kuwasalimu, nadhani utanisalimia Anko na Shangazi wakirudi"

Rebecca "Haukai kuwasubiri?"

Mimi "Nitarudi hata wikiendi ijayo kuwasalimu"

Rebecca "Kaa kidogo maana napasha chakula ule ndiyo uende!"

Mimi "Ok hakuna tatizo!"

Kiukweli nilishangaa sana namna binti wa Anko alivyobadilika kwa muda mchache kwasababu wakati ule nikiwa kwao alikuwa ni mmoja wa watoto wa Anko ambao hawakuwaga na stori na mimi kabisa, nilidhani labda huenda umri ukawa umembadilisha kiakili. Baada ya muda aliniketea msosi nikaanza kuukung'uta kama kawaida kisha nilipomaliza nilimuaga na kumuachia kiasi cha shilingi laki moja kama matumizi yake na kuondoka, alinishangaa sana na kunisindikiza nje kwa bashasha kana kwamba nilimpa milioni moja, mimi lengo langu ni autazame ule mchuma na wazazi wake pamoja na ndugu zake watakaporudi basi awape stori.

Mimi "Mi naenda dada"

Rebecca "Haya binamu uwasalimie huko"

Aliendelea kunisindikiza kwa macho hadi nilipoingia kwenye chombo na kuondoka zangu.

Nilipotoka kwa Anko niliondoka kurudi Gongo la mboto, sasa nilipofika pale Mombasa kuna bar moja niliingia nikapaki gari kisha nikaagiza bia aina ya safari na kuanza kutandika mdogo mdogo, wakati nikiwa ndiyo nimeikamata bia ya pili kuna mtu alinipigia simu, nilipoitazama ile namba ilikuwa ngeni kwenye simu yangu.

Mimi "Halloo"

Yeye "Hello"

Mimi "Nambie"

Yeye "Poa, uko wapi?"

Mimi "Nani?"

Yeye "Farah hapa naongea"

Mimi "Farah!.....Aunt Farah?"

Yeye "Ndiyo"

Mimi "Ooh samahani sana sister hii namba huwaga sina"

Farah "Usijali, uko wapi?"

Mimi "Nipo hapa Mombasa!"

Farah "Ok mimi nipo hapa kwako"

Mimi "Kwangu?"

Farah " Ndiyo!"

Mimi "Wewe si ni Aunt Farah wa Kkoo?"

Farah "Ndiye mimi"

Mimi "Kwangu umepajuaje dada?"

Farah "Nimekuja nikiuliza hadi nimefika"

Kiukweli baada ya maelezo ya Farah nilishituka sana na ile bia nikaanza kuiona chungu, nilishindwa kuelewa alifikaje nyumbani kwangu, na huenda ningekuwa mtu maarufu kiasi kwamba ukiniulizia usingenikosa lakini mimi nilikuwa mtu wa kawaida sana na alivyoniambia eti amefika kwangu kwa kuulizia kiukweli alinichanganya.

Farah "Mbona unashangaa?"

Mimi "Hamna dada!"

Farah "Ally Alitaka kuzungumza nawe ndiyo maana niko hapa"

Mimi "Sawa dada nakuja "

Kilichoniacha hoi ni hiyo statement ya kwamba Ally Mpemba alitaka kuzungumza na mimi, mara zote Ally Akiwaga nje alikuwa akinipigia simu moja kwa moja, ila mimi ndiye nilikuwaga nikitaka kumpigia moja kwa moja simu haitoki. Niliondoka upesi kuelekea nyumbani ili nikaonane na Farah.

Nilipofika pale nyumbani ile gari niliipaki nje ya ile nyumba kwakuwa hakukuwa na nafasi ya kuingiza gari ndani, sasa nilipofika ndani sikumuona Farah ikabidi nimpigie simu.

Mimi "Dada nishafika uko wapi?"

Farah "Nilitoka kidogo nipo hapa dukani nakuja"

Nilifungua mlango nikaingia zangu ndani kuweka mazingira sawa kisha nikatoka nje kumsubiri, sasa baada ya muda aliingia mwanamke mmoja wa kiarabu(Kipemba)aliyekuwa akifanana sana na Zahra/Maya kama mapacha, nilibaki kumtizama kama mtu niliyepigwa na bumbuwazi.

Tangu nimfahamu Farah sikuwahi kumuona uso wake kwasababu mara zote alivaa nicab. Alipokuja kwangu alikuwa amejitanda hijab tu huku uso wake ukiwa wazi kabisa na chini akiwa amevaa suruali nyepesi ya kitambaa pamoja na raba ya converse, kiukweli baada tu ya kumuona namna alivyokuwa akifanana na Maya nilimtambua. Kilichonishangaza zaidi hadi umbo na tembea yake alikuwa ni Maya mtupu, hali ya uwoga ikaanza kuniingia ghafla lakini sikutaka kuonyesha ikabidi nijikaze.

Nilijiuliza maswali mengi sana, ni yeye tu ndiye alifanana na Maya au hadi ndugu wengine ambao sikuwaona nao walifanana na Maya? Na Mbona Ally Mpemba alikuwa hafanani sana na Maya kama ilivyo kwake?

Mimi "Dada Farah karibu"

Farah "Ahsante kijana wa bara mwenye balaa"

Mimi "Karibu ndani!"

Farah "Hapana, ndani siingii!"

Aliendelea "Ngoja nimpigie Ally uongee nae alitaka kuzungumza nawe!"

Mimi "Leo unamtoko nini!"

Farah "Kwanini?"

Mimi "Siyo kawaida yako kukuona hivi!"

Farah "mmmh hujanikuta tu huenda!"

Mimi "Nilikuja dukani mida fulani nikakuta umefunga"

Farah "Kuna mahala inapaswa niwahi hebu zungumza na Ally"

Baada ya kuzungumza na Ally Mpemba alinipatia maelekezo ya kwamba aende kule kwake akachukue ile gari yake(Range Rover) kisha kulikuwa na hela kiasi cha milioni 2 anipatie. Nilimtaka pia Ally Mpemba baadae anipigie simu yangu kuna mambo muhimu nizungumze nae akanianbia usiku angenipigia.

Basi baada ya mazungumzo yale tuliondoka na Farah kuelekea kwenye Audi ili niondoke nimfungulie achukue gari kama jamaa alivyokuwa amenipatia maelekezo, sasa ile Farah anapanda kwenye gari kuna namna aliliitusha hijab yake ambayo ilionekana kumbana,kiukweli nilipomtazama vizuri nilishituka sana baada ya kuona alikuwa na mchoro mkononi kama ambao Maya alikuwa nao kwenye mkono wake wa kuume!



Inaendelea: Sehemu ya 20
We jamaa mwisho wa story watakushika Tako shauri yako 😂😂
 
Mkuu uchawi usukumani ni kama secret society zinavyofanya kazi forbidden knowledge zote ndio zimepelekea secret society ndio maana unasikia vikongwe wanakatwa mapanga ukihusishwa na uchawi. Uchawi pia unavyeo/ranks wale first class/highest rank ndio wanajua mambo makubwa.
Kwa walio kulia usukumani I.e mwanza, geita, shinyanga, tabora wanaweza kuwa wameskia au kushuhudia mtu aliyekufa baadae akarejea mara nyingi wanolejea hawajakatwa ulimi ndio wanasimulia mambo ya huko japo sio wote hupelekwa huko.
Sehemu niliyo kulia ilikuwa kawaida kusikia milio ya treni ikihusishwa na gamboshi.
Gamboshi ni kama taifa kule utaambiwa kuna wanasiasa wakubwa e.g Nyerere, kuna wachumi wakubwa I.e lipumba, kuna wanasayansi, walimu, shule, hospitali nk.
Nikawaida usukumani mme kuishi na mwanamke mchawi lakini asijue, usiku analala na fisi mkewe anaenda vilingeni.
Uchawi una operate kama secret society kwa sababu ya kuwakat mapanga na mara nyingi hata familia yenye uchawi unakuta anayejua ni mama na binti yake kwa sababu ndiye atakaye mrithisha na hao wengine ni ngazi ya kupanda daraja atakapo watoa kafara.
Kuna baadhi ya vijiji huko usukumani hukuti mzee(above 60) ni wabibi tu na vijana.
Ukiwa hauna kipaji unaenda kufanya manual work ndio hao wanaokatwa ulimi.
Lastly Gamboshi kwa wachawi ni kama sehemu takatifu mostly wa wale wanaoenda huko ni wenye loyalty ya highest order kwa hiyo sio rahisi kukwambia habari za huko.
Kuna padre mmoja alikuwa paroko mwadui father Deo alikuwa anafanya research yake kuhusu hayo mambo ya uchawi usukumani nadhani aliandika kitabu sijajua kama alikiweka public.
Father Celement wa Bujora Kisesa Mwanza naye alikua research kama hii
 
Mkuu huo mtaa kuelekea sokoni pana mgahawa mmoja tu. Nyama choma pale ni zile za kupakwa rangi na ni laini sana.
Wali biriani nk vinapatikana pale. Kumbukumbu zangu nimekula pale kama mara 4.
Aisee nawahurumia sana wale wafanyakazi. Sijui nijitahidi niende kula tena pale ili niweze kuwashawisi wafanyakazi wa pale wausome uzi huu wa Umughaka huenda wakanusurika.

Nyama zao laini mno
 
Hahahaa Hapana.. Sitaki hekaheka tena kabisaa mie humu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Afu Habari za kumpenda Mtu hujamuona [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Uzuri masta umughaka ....atamcheki ally mpemba ili amtumie picha ya Antonnia ....+ Criteria ie flat au.........
 
Mkuu uchawi usukumani ni kama secret society zinavyofanya kazi forbidden knowledge zote ndio zimepelekea secret society ndio maana unasikia vikongwe wanakatwa mapanga ukihusishwa na uchawi. Uchawi pia unavyeo/ranks wale first class/highest rank ndio wanajua mambo makubwa.
Kwa walio kulia usukumani I.e mwanza, geita, shinyanga, tabora wanaweza kuwa wameskia au kushuhudia mtu aliyekufa baadae akarejea mara nyingi wanolejea hawajakatwa ulimi ndio wanasimulia mambo ya huko japo sio wote hupelekwa huko.
Sehemu niliyo kulia ilikuwa kawaida kusikia milio ya treni ikihusishwa na gamboshi.
Gamboshi ni kama taifa kule utaambiwa kuna wanasiasa wakubwa e.g Nyerere, kuna wachumi wakubwa I.e lipumba, kuna wanasayansi, walimu, shule, hospitali nk.
Nikawaida usukumani mme kuishi na mwanamke mchawi lakini asijue, usiku analala na fisi mkewe anaenda vilingeni.
Uchawi una operate kama secret society kwa sababu ya kuwakat mapanga na mara nyingi hata familia yenye uchawi unakuta anayejua ni mama na binti yake kwa sababu ndiye atakaye mrithisha na hao wengine ni ngazi ya kupanda daraja atakapo watoa kafara.
Kuna baadhi ya vijiji huko usukumani hukuti mzee(above 60) ni wabibi tu na vijana.
Ukiwa hauna kipaji unaenda kufanya manual work ndio hao wanaokatwa ulimi.
Lastly Gamboshi kwa wachawi ni kama sehemu takatifu mostly wa wale wanaoenda huko ni wenye loyalty ya highest order kwa hiyo sio rahisi kukwambia habari za huko.
Kuna padre mmoja alikuwa paroko mwadui father Deo alikuwa anafanya research yake kuhusu hayo mambo ya uchawi usukumani nadhani aliandika kitabu sijajua kama alikiweka public.
Exactly. Ndio maana hata unapofika Sumbawanga ( Means tupa uchawi ) unaweza hisi hakuna uchawi hata stori tu utaambiwa mbona hatujui kitu uchawi.

Sasa jifanye na tu uchawi twako ndio utajua hujui.
 
Back
Top Bottom