Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nami nitafute zangu nije kuandikwa.. Utajiri wa Jr ni dola bilion 2
Jr..!wewe ni jr au Sr
vipi mmeshamaliza kupost picha zake kwenye status zenu akiwa na mweza wake mjamzito??
Sio wanaume hao ujue,tumebaki wachache sana...ichukuliwe takwimu tuwe nyara za serikali maana tunapungua kwa speed sanaIla wabongo ni viumbe dhalili sana aisee, can you imagine hadi wanaume wamepost hizo picha kwa status zao?!!!
Ila wabongo ni viumbe dhalili sana aisee, can you imagine hadi wanaume wamepost hizo picha kwa status zao?!!!
Wanaume wa Dar hao , wahuni wa mikoani hawawezi fanya such kind of shitIla wabongo ni viumbe dhalili sana aisee, can you imagine hadi wanaume wamepost hizo picha kwa status zao?!!!
Cha ajabu dada zao wakiwa wajawazito hawapostvipi mmeshamaliza kupost picha zake kwenye status zenu akiwa na mweza wake mjamzito??
Hahaha mkuu unauhakika[emoji23][emoji23][emoji23]Ila wabongo ni viumbe dhalili sana aisee, can you imagine hadi wanaume wamepost hizo picha kwa status zao?!!!
Eti dhalili 😂😂😂😂 hahah you made my day aiseee!Ila wabongo ni viumbe dhalili sana aisee, can you imagine hadi wanaume wamepost hizo picha kwa status zao?!!!
Hahahaha 😂😂😂😂😂Ila wabongo ni viumbe dhalili sana aisee, can you imagine hadi wanaume wamepost hizo picha kwa status zao?!!!
hapo ukute baadhi ya hao wanaopost ikiwa ni wanawake washatoa mimba zisizo na idadi na wanaume washakimbia mimba zisizohesabika. Lakini wanashupalia ya wenzao walioamua kuleta kiumbe duniani.vipi mmeshamaliza kupost picha zake kwenye status zenu akiwa na mweza wake mjamzito??