Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Fungua kesi, jf si kazi yao kuchunguza. Pili fanya kazi kwa bidiiSina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
Hawa watu ni wala rushwa kubwa namba 1 hapa Tanzania, sio kwamba serikali haijui inajua na inawafumbia macho, wana utajiri mwingi wa kutupwa waliouficha maeneo tofautitofauti na kwa majina ya ndugu zao.Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
Ni kweli magufuli tu ndio aliiweza hii nchi wezi kila kona kama hawa watumishi wa tra ndio usiseme wengi ni matajiri wa kutishaSina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
Kwa nini?niwe mkweli kutoka moyoni nikipata chance ya kupiga napiga.
Hao watoza ushuru wanalalia Pesa zote halali na haramu,Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
sababu ni hiyohiyo.kuanzia juu mpaka chini kila anaepata nafasi aachi anapiga.Kwa nini?
Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
Mimi sina noma nao wacha watajirikeSina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.