MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wana mishahara mikubwa, wana mikopo ya Bank, SACCOS, VICOBA bado asante za hapa na pale hivi ni vyanzo halali. Mkuu, kila mtu hapa duniani kaandikiwa fungu lake, vumilia tu, mpaji ni Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo TRA tu, kila taasisi ya serikali inayokusanya mapato kuna ufisadi mkubwa. Kuna jamaa wengi mfano TRA wamejenga apartment Dodoma unajiuliza huyu mtumishi wa TRA tena unakuta hana cheo anatoa wapi jeuri ya pesa??? Kuna jamaa mmoja pia alikuwaga TRA miaka hiyo yaani kwa ufupi TRA ni genge la wezi, siku nikiwa rais hakika nitatunga sheria ya kunyonga wala rushwa wote wafe kabisa. Halmashauri ni the same wezi kibao.Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
Hapana ni wezi sana. Tena wana viburi sana kwa kujifanya eti wao wameyepatia maisha. Mbona watu wa Bank Kuu hawana huo ufisadi??? Yaani sehemu ya kwanza kuanza kunyonga mpaka kufa ni wafanyakazi wa TRA.Wana mishahara mikubwa, wana mikopo ya Bank, SACCOS, VICOBA bado asante za hapa na pale hivi ni vyanzo halali. Mkuu, kila mtu hapa duniani kaandikiwa fungu lake, vumilia tu, mpaji ni Mungu
Kila taasisi ina organizational culture yake, watoza ushuru wanalalamikiwa tangu enzi za mwokozi wetu Yesu KristuHapana ni wezi sana. Tena wana viburi sana kwa kujifanya eti wao wameyepatia maisha. Mbona watu wa Bank Kuu hawana huo ufisadi??? Yaani sehemu ya kwanza kuanza kunyonga mpaka kufa ni wafanyakazi wa TRA.
Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake lo
Huna akili wewe.Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
Ishu sio mshahara ishu ni madili yalioko kwenye ile taasisi sio mchezoMshahara wa tra Ni mkubwa siyo huu wa tamisemi haswa walimu
Ndio maan ukipata Kaz ofc ile umeula Moja kwa moja
labda maswali kidogoSina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
TRA TanzaniaHawa watu ni wala rushwa kubwa namba 1 hapa Tanzania, sio kwamba serikali haijui inajua na inawafumbia macho, wana utajiri mwingi wa kutupwa waliouficha maeneo tofautitofauti na kwa majina ya ndugu zao.
Siku moja mzigo wangu ulikamatwa wakaufikisha ofisini kwao, baada ya jitihada flani nikaambiwa nikauchukue mida flani, wee niliwakuta jamaa 3 nyuma ya jengo wanagawana mzigo wa pesa, yani kila mmoja anabeba na mabegi, aisee huenda siku hiyo ningekuwa na silaha ningegeuka muhalifu.
Imagine kila nyumba inakatwa 2000 ya umeme nchi nzima kila mwez. Bado vocha wanazokata tozo mwigulu atafia kwenye note.Ni kweli magufuli tu ndio aliiweza hii nchi wezi kila kona kama hawa watumishi wa tra ndio usiseme wengi ni matajiri wa kutisha
TRA wote ni wezi hata na vishoka wao pale nje wale wote ni wezi tu, cha kushangaza serikali ipo tu kimyaSina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe.
Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee.
watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.