Utajisikiaje boss aliyekuajiri anakutangaza kwenye mitandao ya kijamii kwamba amekupa ajira?

Utajisikiaje boss aliyekuajiri anakutangaza kwenye mitandao ya kijamii kwamba amekupa ajira?

Yani toka jana nacheka hadi machozi yananitoka Wallahi....!
Ama kweli duniani kuna watuuuu...

Hahahahahaha u knw the baharia amesha toa go ahead mboga imwagwe hahahahaha Kim nana angalia usivunje mbavu wakati unatakiwa kufika kituoni hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa le mutuz nitamkubali hadi kesho! japokuwa baadhi ya watu wanampiga kwa matendo anayoyafanya! namkubali sana sijawahi kuskia hata siku 1 amevunja sheria za nchi! mwacheni hayo ndiyo maisha aliyochangua huwez kumpagia mtu aishi maisha unayotaka wew!! u know
 
Hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha u knw the baharia amesha toa go ahead mboga imwagwe hahahahaha Kim nana angalia usivunje mbavu wakati unatakiwa kufika kituoni hahahaha

Mwanasheria wangu utaniwakilishaaaa....lol
 
Last edited by a moderator:
Le baharia,le baby face! Anipe ajira tu na mimi!naomba kushika hata lile koti la babu jamani!
 
Le baharia,le baby face! Anipe ajira tu na mimi!naomba kushika hata lile koti la babu jamani!

Hahahahaha usijali le baharia anatoa ajiria hana tatizo.... u knw ... lazima akupe kazi hahahahaha
 
Tumuombe Jestina, me nikiiona ntakufaa kwa kuchekaaaa.....yani nimecheka leo....kwa hiyo wale wabebez kazi ni kupiga picha nao tuuu...

Huo mwili wa maphoto mechi mpka ale mbolea ndio gemu afaudu
 
Attachments

  • 1413302733038.jpg
    1413302733038.jpg
    50.6 KB · Views: 127
Wapi warumi atuletee "duru za kiubuyu" hapa ha ha ha

Hahahaha hilo neno duru za kiubuyu linanichekesha sana.... u knw le baharia amesema... ni mwaka sasa clip haitolewi ana tishiwa tuu...
 
Back
Top Bottom