Yani toka jana nacheka hadi machozi yananitoka Wallahi....!
Ama kweli duniani kuna watuuuu...
Ruttashobolwa le mutuz nitamkubali hadi kesho! japokuwa baadhi ya watu wanampiga kwa matendo anayoyafanya! namkubali sana sijawahi kuskia hata siku 1 amevunja sheria za nchi! mwacheni hayo ndiyo maisha aliyochangua huwez kumpagia mtu aishi maisha unayotaka wew!! u know
Umetisha hahahaaaaaaa
Aisee,wewe kiboko,eti nyuki wa canteen
Le baharia,le baby face! Anipe ajira tu na mimi!naomba kushika hata lile koti la babu jamani!
Hahahahahapana chezea nyuki mabebs wooote wale punyeto ya nini sasa
Wapi warumi atuletee "duru za kiubuyu" hapa ha ha haHahahaha
Ameshajibu kuwa hakuna kitu kama hicho na ametoa go ahead kuwa itolewe hadharani u knw
Tumuombe Jestina, me nikiiona ntakufaa kwa kuchekaaaa.....yani nimecheka leo....kwa hiyo wale wabebez kazi ni kupiga picha nao tuuu...
wanaume wanaokuwaga na mbwembwe za kujifanya watu wa mademu hakunaga kitu wengi ni nyuki wa canteen hawaumi wanachezea tu sukari....
Huo mwili wa maphoto mechi mpka ale mbolea ndio gemu afaudu
Huo mwili wa maphoto mechi mpka ale mbolea ndio gemu afaudu
Wapi warumi atuletee "duru za kiubuyu" hapa ha ha ha
Boxer ya Lemutuz inafunika friji!yan yupo sexy sipati picha alivokua akirembua mbele ya skype!
Bora abaki cha waputa, Mbolea itafanya tumkosee...
Hahahahahaha u knw utafungwa na le baharia
Mkuu hao mabonge bila mbolea mechi haiendi hata komba na yule rc wanatumia y minjingu