Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
AiseeUmepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye nidhamu na mchapa kazi.
Wallah maiti itapiga ngumi watu.
Yaani nimesoma tena Na tena lkn sijakuelewa kabisa mpwa wangu.
Ngoja nirudie tena labda nitaelewa
Kila mtu na machaguo yakeHuu ni wazimu, hivi unadhani kufanbya kazi TISS kuna nini zaidi?
Halafu utashangaa huyu naye ana Degree.😄😄Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye nidhamu na mchapa kazi.
Wallah maiti itapiga ngumi watu.
Mkuu kwani kuna shida gani mbona unazifufua sana hizi mada??Tiss wengi ni weupe kichwani
Hahahahaha ...ati utajisikiaje!!! Atakuwa anajisikia bado wakati ni maiti!!Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye nidhamu na mchapa kazi.
Wallah maiti itapiga ngumi watu.