Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Mawasiliano muhimu ukiyakosa taabu inawezekana ans mawasiliano sehemu nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko ktk relationship na mtu(a lady),anasema anakupenda sana,pia anakuchukulia kama mume wake mtarajiwa
Lakini;anaweza kukaa wiki nzima bila kukujulia hali licha ya wewe kumjulia,anaweza kupiga simu au sms kwa watu wengine lakini mzito kukuandikia wewe,wakati mwingine ukimuuliza unaendeleaje,no reply,anaweza kuwatembelea watu mbalimbali,lakini kukutembelea wewe ni kwa msimu,ukimuuliza anakwambia yuko bize,time will come where we will be together forever.jiweke wewe ktk position hiyo,mtazamo wako ungekuwaje kuhusu uhusiano huu

Wewe ni substution!