maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Niadje wadau, hivi utajiskiaje au utafanyaje endapo ukikutana na situation kama hizi. Umemtumia mtu hela afu anakujibu "enx"
Umemkaribisha rafiki akho kwene kaghetto kwako afu unaenda kuoga ile unarudi unakuta kapanda na viatu kindandani afu anakula alizeti
Unamkuta mshikaji anamtukana mama akho afu mshikaji mbavu kweli. Uko kwene shughuli ya ndugu yako unaacha kula msosi ukitegemea hom uhakika unarudi hom unakuta hola hawajakuhesabia coz walidhani utakula kwene shughuli
Na mambo ka hizo hivi utajiskiaje. Mmii inayoniuma sana iyo ya kumtumia mtu hela afu ajibu "enx" pamoja na maisha yalivo magumu hivi
Hii imenitokea mwenyewe mda sio mfupi ndo ikapelekea mimi kuandika huu uzi
Imeniuma sana