Utajiskiaje?

Afanye yote ila akimtukana mama yangu labda nisisikie au nisiwepo karibu
 
Hapo pa kuacha kula msosi wa shughuli hapo alafu nyumbani nakuta holla..dah!😥
 
nitajisikia vibaya sana kama ninavyojisikia kusoma hizo “ afu, akho” zako mbona hazina tofauti na hizo “enx” za mwenzio tena bora yeye kamwandikia mtu mmoja wewe umetuandikia malaki ya watu humu.
Ongeza na "kwene" badaya ya kwenye
 
nitajisikia vibaya sana kama ninavyojisikia kusoma hizo “ afu, akho” zako mbona hazina tofauti na hizo “enx” za mwenzio tena bora yeye kamwandikia mtu mmoja wewe umetuandikia malaki ya watu humu.
😅😅😅😅
 
Alizeti,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mambo ya Kukaribishana ayo una mkaribisha na unamwambia mtu ajisikie yupo nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…