Utajiskiaje?

Utajiskiaje?

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Niadje wadau, hivi utajiskiaje au utafanyaje endapo ukikutana na situation kama hizi. Umemtumia mtu hela afu anakujibu "enx"

Umemkaribisha rafiki akho kwene kaghetto kwako afu unaenda kuoga ile unarudi unakuta kapanda na viatu kindandani afu anakula alizeti

Unamkuta mshikaji anamtukana mama akho afu mshikaji mbavu kweli. Uko kwene shughuli ya ndugu yako unaacha kula msosi ukitegemea hom uhakika unarudi hom unakuta hola hawajakuhesabia coz walidhani utakula kwene shughuli

Na mambo ka hizo hivi utajiskiaje. Mmii inayoniuma sana iyo ya kumtumia mtu hela afu ajibu "enx" pamoja na maisha yalivo magumu hivi

Hii imenitokea mwenyewe mda sio mfupi ndo ikapelekea mimi kuandika huu uzi

Imeniuma sana
 
Nilianza na Wafungwa watatu na kwa sasa ninamiliki gereza.

Nilianza na picha ya samaki ukutani kwa sasa ninamiliki bwawa kubwa la samaki hapa Dar.

Nilianza kama Mgambo ila kwa sasa nimekua boss wa usalama wa Taifa.

Utajisikia hivyo.
 
Binadamu kwa Binadamu tuna Maudhi Sana ,ya kawaida tu hayo bro Ni kujitahidi tuu kupotezea

ila huyo wa "enx" haki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23]
daaaah mzee acha tu imenibidi nizunguke kuanzisha uzi ila lengo langu ilo tu

Mara mia angevunga tu
 
nitajisikia vibaya sana kama ninavyojisikia kusoma hizo “ afu, akho” zako mbona hazina tofauti na hizo “enx” za mwenzio tena bora yeye kamwandikia mtu mmoja wewe umetuandikia malaki ya watu humu.
Miamala iheshimiwe
 
[emoji23] hiyo statement ya mshkaji kula alizeti imenikera zaidi.
 
Back
Top Bottom