Utajuaje gari iliyofunguliwa na kitengenezwa Engine.

Kwa mchanganuo hapo juu itakulazimu uwe na kama Mil.23 mpk kuingia barabarani, lkn ujue kabisa hata hiyo gari ikija mpya na dhumuni ni kufanyia biashara lazima uandae kama 1.8 zaidi kwaajili ya modification ikiwemo Mziki, Siti, na vikolombwezo vingine pia unaweza agiza Manual lkn ikaja ambayo ipo modified
 
Asante mkuu. Naweza kupata mchanuo WA gharama gari ikifika bandalini mpaka kuichukua I mean out of taxe payment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapata tabu sana gari kugunguliwa ni kawaida tena kama hiace shida ni ujue ilifunguliwa kwa tatizo gani inaweza kua ilibadilishwa crach plet cha kuchunga kama ni ingine isiwe imechongwa brock kama alifungua kubadilisha gasket hakuna shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umeanza vizuri,unaweza kuongea na Beforward wakapunguza bei zaidi.Pia mbali na hiyo estimate ya tra,unatakiwa uwe na 1.5m hivi ya gharama zingine (port charges,clearing agent etc)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…