Utajuaje hips/**** la mchina kichaga,kihaya,kisukuma!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jamani kumezuka mambo ya kuongeza maungo ya binadamu kwa kutumia dawa
mbali mbali wapo wachaga wamekuja na dawa zao wako wachi na wala awajifichi
wahaya nao wameingia kwenye system..sasa kama we mtaaalamu utatusaidiaje kujua hili la kichina la kihaya maana wengine twapenda original sio la kulazimisha.....
Kwenu
Wahadhiri wa MAPENZI
 
Dunia imeisha sasa!
 
bonyeza bonyeza... likibonyea sana..basi sio original...
 

moja linakuwa kubwa lingine dogo!:becky:
 
ngumu kujua mpk mkifika room ndio utaona yanang'aa kama chungu kipya halafu yanabonyea pia ukiyatazama unaona mpka damu inavyotembea ndani yake
 
ukifika rum ndugu una muda hata wa kuyatambua tena hilolako hilo@@@@
 
bonyeza bonyeza... likibonyea sana..basi sio original...

Bishop jamaa hataki uingia hasara; asa mpaka aruhusiwe kubonyeza ujue gharama atakuwa kashaingia na hapo wako geshti! hakuna njia ya kuja kwa kuona ?
 
la mchina laini sana, halafu ni poligoni halina umbo kamili, mfano unaona paja linatepeta kama manyama ya kwenye makalio ya mtoto kibonge.
 
hihihi, sa ukishajua inasaidia nn, we kula mzigo tu baba utambae
 
Tehetehetehetehetehe................makubwa haya. Hakuna haja ya kujua kwani haya yote kitandani huwa ni parallel na godoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…