Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Jamani kumezuka mambo ya kuongeza maungo ya binadamu kwa kutumia dawa
mbali mbali wapo wachaga wamekuja na dawa zao wako wachi na wala awajifichi
wahaya nao wameingia kwenye system..sasa kama we mtaaalamu utatusaidiaje kujua hili la kichina la kihaya maana wengine twapenda original sio la kulazimisha.....
Kwenu
Wahadhiri wa MAPENZI