Utajuaje kama mods wameufuta Uzi wako

Mr the dragon

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
1,937
Reaction score
3,718
Sory wadau mimi nataka nijue tu kama umeandika thread yako na mods kwa sababu kadhaa wakaufuta au wakauweka pending kwa sababu zao kadhaa.wewe mhusika uliyeandika utajuaje? Anaejua plz anielekeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods njoo muufute huu Uzi ili huyu dogo aone
 
Ukifungiwa uzi wako hutaweza kuuona au kureply

kuna maneno utaandikiwa mkuu
 
Ukifungiwa uzi wako hutaweza kuuona au kureply

kuna maneno utaandikiwa mkuu
Kuna uzi nimeuandika Kule intelligence forum lakini nikiingia kwenye account yng ya JF kwenye nyuzi nilizowahi kupost haupo.ila kwenye jukwaa naukuta.hamna coment wala like af chin yake kuna kidude flan cha njano sa ndo sijaelewa hapo mkuu heb nielekeze from ur experience

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huenda labda wameufunga na kuzuia watu kupost
 
Mods wameshauachia now naona mamb yapo good pamoja sana wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…