Utajuaje kama mpenzi wako anakusaliti kisiri?

Utajuaje kama mpenzi wako anakusaliti kisiri?

Akitoka tu akirudi, mpe ugoro anuse....atapiga chafya, sikufundishi kila kitu
 
Una maisha marefu sana kwa mindset hii.
Acha kumchunguza Bata so long as at that time una-furaha ya kuwa nae wewe endelea kuwa nae..., Hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa na Hati Miliki ya Mtu mwingine.... Enjoy the Moment...
 
Kwa uzee huu mie kusalitiwa asaliti hadi achokee mie nimezeeka aisee
 
Back
Top Bottom