Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Vibaya hivyotunasaidiana
asiporidhika atajua mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibaya hivyotunasaidiana
asiporidhika atajua mwenyewe
[emoji122]Ukijua itakusaidia nini?
Tenda wema, nenda zako....
Huwa unaakiliUkijua itakusaidia nini?
Tenda wema, nenda zako....
kwahiyo haina haja ya kujua,Kama anajiigizia mwenyewe, sidhani kama inapaswa kukusumbua.
Wewe sasambua, fika kileleni. Akiigiza kafika basi maana yake hataki kufikishwa.
Mtatuua kha 😃 😃Hakikisha kunafuka moshi kama ile ulimbo na ulimbombo, tena ukiweka kidole kuwe na moto kama tanuru.
Akisema hajafika na hapo, kaa chini, jipige kifua sema "MIMI NMEAIBISHA HADI UKOO WETU".