James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
😁😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeoatia zote mkuu kula bia nakuja kulipa1.Watu wengi wanajishughulisha na kilimo wanaamka saa 10 alfajiri kwenda mashambani.Pia ng'ombe zinatumika kulima
2.Ni kawaida kukutana na wazee mababu na mabibi
3.Watu wengi wanaongea lugha za makabila
4.Wanawake/wamama wengi wanavaa khanga
5.Ukipanda daladala kwenda Town mfano ahsubuhi unapanda na watu wanaopakia matenga ya mazao wanayotoka kuyanunua ili wakayauze huko waendako
6.Kujaa kwa nyumba za tope
7. Wenyeviti wa mitaa,vitongoji/ vijiji wanaogopeka kana kwamba ndio Marais
8.Kukitokea Msiba wanatangaza na vipaza sauti
9.Wasichana wengi wadogo kuwa na watoto pia wanawake wengi kubeba watoto migongoni
10.Watoto wengi kutomaliza la saba au wakimaliza hawaendelei.
11.Vikosi vya ng'ombe vinapita kwa wingi vikipelekwa machungani hasa ile ming'ombe yenye nundu
12.Nyumba kuwa na vyoo vya nje hasa vile vya shimo
Nitaongezea mengine kadri nitakavyokuwa nayasoma mazingira ya huku bushi nawe waweza kuongezea yako unayoyafahamu kuhusu mbwinde.