Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
wanakujaIli ujue kwasasa upo JF basi lazima ukutane na mambo haya;
° Kila member ana maisha mazuri
° Members wote wana degree na kuendelea
° Wengi wetu tunafanya kazi ofisi nyeti serikalini
° Hakuna anayetumia tecno, wote tunatumia Samsung, Iphone nk
Endeleza na wewe sifa za wana JF
Kila member anawajua usalama wa taifaIli ujue kwasasa upo JF basi lazima ukutane na mambo haya;
° Kila member ana maisha mazuri
° Members wote wana degree na kuendelea
° Wengi wetu tunafanya kazi ofisi nyeti serikalini
° Hakuna anayetumia tecno, wote tunatumia Samsung, Iphone nk
Endeleza na wewe sifa za wana JF
General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!Nyuzi ya kipuuzi kbs
General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wewe kama nani?Kila siku huu uzi unapandishwa fanyeni tathimini basii maisha yaendeleee
Ukweli mtupuKila member anawajua usalama wa taifa
Na wewe uliyekoment katika nyuzi ya kipuuzi ni MpuuzyNyuzi ya kipuuzi kbs