Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
- Thread starter
- #21
Sisi wahenga bhana[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenikumbusha mashati ya Bahama.... Kweli mi n muhengaKama ulicheza mchezo wa ganda,kombolela,mandewe,
Kama ulishavaa shati la bahama na juliana,viatu vya raizoni,chachacha,raba za DH
Kama ulikula ugali wa yanga,ka uliyakuta mahandaki,kama ulikunywa pepsi cola,kupaka mafuta ya shanti,kucheza goroli za kioo,kutumia debe,na galoni la bati,
Speedo hapana!31. Kama ulitumia peni ya BIC au SPEEDO wewe ni muhenga.