Utajuaje kitasa imara kwenye nyumba

Utajuaje kitasa imara kwenye nyumba

High Vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,915
Reaction score
2,134
wakuuu mwenye uelewa na vitasa original vikoje naona wengi wananunua vya 6000 na 15000 na kama unauza ongea maeneo mwanza
 
bei yake mkuu ikoje na mikoani inapatikana maana isije kuwa dar tu

union ya England inapatikana mikoa yote nenda kwenye Hardware za uhakika bei kama ulivyoambiwa hapo juu 40,000 hadi 45,000. Handle zake ni aluminium.
 
Funga chochote ,then jifanye mwizi wa kuvunja na kikichelewa kufunguka ujue hicho ndo imara.

na wewe nakupa hongera kwa mchango ukidharau kitu na wewe kuna siku utadharauliwa
 
We funga chochote tu hata cha buku jero. Hivi unadhani wale jamaa wakipania kuiba huwa wanaangalia ubora wa kitasa?
 
We funga chochote tu hata cha buku jero. Hivi unadhani wale jamaa wakipania kuiba huwa wanaangalia ubora wa kitasa?

mkuu ishu sio kuibiwa tu vitasa vingine majanga ninacho kimoja cha spider ukijifungia ndani mpaka umuite mtu nje aje akufungulie na inabidi awe na bisibisi kukishtua!
 
Back
Top Bottom