High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
wakuuu mwenye uelewa na vitasa original vikoje naona wengi wananunua vya 6000 na 15000 na kama unauza ongea maeneo mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Union kutoka Uk,ni vizuri....
bei yake mkuu ikoje na mikoani inapatikana maana isije kuwa dar tu
bei yake mkuu ikoje na mikoani inapatikana maana isije kuwa dar tu
Funga chochote ,then jifanye mwizi wa kuvunja na kikichela kufunguka ujue hicho ndo imara.
union kitasa imara hiki bei 40,000/=
Funga chochote ,then jifanye mwizi wa kuvunja na kikichelewa kufunguka ujue hicho ndo imara.
We funga chochote tu hata cha buku jero. Hivi unadhani wale jamaa wakipania kuiba huwa wanaangalia ubora wa kitasa?