utajuaje kuwa muongeaji ni mbunge wa ccm

mustafa ommy

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
221
Reaction score
127
1. Kwanza anaanza kuunga mkono hoja asilimia 100.
2. Baadae anaanza kutoa List ya matatizo inayopingana na hoja.
3. Tatu naonesha jazba na matusi anapokabiliwa na hoja nzito inayohitaji kufikiri.
4. Akijadili anaonesha ushabiki wa chama.
5. Anamalizia mchango wake kwa kuunga mkono hoja.
 
Hao ni wezi wa haki za wanyonge.
 
Mi nikiona mtu anaogopa baada ya mh. LISSU kusimama najua lazima atakuwa gamba
 


na ukisikia mwanamke kabakwa ujue ni mbunge wa wapi?
 
'Kwa kuwa serikali ya ccm ni sikivu' nikisikiaga hivyo 2 najua lazima litakuwa gamba hilo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jina chadema likitajwa kwa kashfa za uwongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…