SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mazombie ya utopolo yanadanganyika kirahisi sanaYaani kishabiki kimoja cha mazembe kuwafariji kwamba wao ni timu kubwa wanadhani mashabiki wa mazembe wote ni wapuuzi kama wengine,wacheze mpira wasipende cheap popularity
CAF ratings mko nafasi ya 80 hata Namungo anawashindaAnajifariji vipi kabatini ndoo 27 za ligi?
Kama wewe mkubwa show us your trophy cabinet!
Luc kawaita Yanga nyani,alikuwa sahihi kabisaComred Rage kuwaita MAMBUMBUMBU hakukosea kabisa mkuu [emoji120]
Kwanini hakuipa timu yako na yenyewe ifikishe ndoo 27 sasa?Ndoo hizo 27 usisahau kuna ambazo Jamal Malinzi alikuwa anakupatia tu au na hilo hamkufahamishwa labda
Sababu inafahamika ni kwamba hakuwa upande wangu(timu yetu)😏😏.Kwanini hakuipa timu yako na yenyewe ifikishe ndoo 27 sasa?
mbona zako ulizopewa na Karia hujazisema.Ndoo hizo 27 usisahau kuna ambazo Jamal Malinzi alikuwa anakupatia tu au na hilo hamkufahamishwa labda
Yanatia aibu sana mkuuMazombie ya utopolo yanadanganyika kirahisi sana
Aibu naona mimi jamani hukuYaani ninyi matakata thinking capacity yenu Iko chimi sana
Hayo yako sasa, sisi tunaangalia namba zinasemaje, 27 baby.Sababu inafahamika ni kwamba hakuwa upande wangu(timu yetu)[emoji57][emoji57].
Yule ni shabiki wa yanga aliyevaa jezi ya mazembe wanatakiwa wahoji Viongozi au makocha na wachezaji wa mazembe sidhani kama wanaweza kuiongelea timu inayotolewa kwenye mashindano na timu isiyojulikana kama river unitedYaani kishabiki kimoja cha mazembe kuwafariji kwamba wao ni timu kubwa wanadhani mashabiki wa mazembe wote ni wapuuzi kama wengine,wacheze mpira wasipende cheap popularity
Ndio maana nimemdharau sana mleta mada kwa hoja ya kitoto kama ile halafu anajiona kuwa ns akiliYule ni shabiki wa yanga aliyevaa jezi ya mazembe wanatakiwa wahoji Viongozi au makocha na wachezaji wa mazembe sidhani kama wanaweza kuiongelea timu inayotolewa kwenye mashindano na timu isiyojulikana kama river united
Show us your trophy cabinet, 27 baby.CAF ratings mko nafasi ya 80 hata Namungo anawashinda
Hebu twambie ni kiongozi gan wa TP Mazembe aliyesema kuwa Yanga ni timu kubwa, kma siyo huyo shabiki kwa mtazamo wake, tuwekeeni clip ya kiongozi yyte wa Mazembe ili iwe official kuwa wao ndo wamesema? Hata mi Kwa mahaba yngu na Man u, naweza toa comment kma hiyo na ikawaUnatumia msuli Sana aisee [emoji1787][emoji1787]
amesahau wakati ule wa Simba Super cup waliwaomba Mazembe kucheza nao wakakataliwa halafu wakawakubali AzamYaani kishabiki kimoja cha mazembe kuwafariji kwamba wao ni timu kubwa wanadhani mashabiki wa mazembe wote ni wapuuzi kama wengine,wacheze mpira wasipende cheap popularity
Unahesabu hadi ulizochukua wakati wa mkoloni?Anajifariji vipi kabatini ndoo 27 za ligi?
Kama wewe mkubwa show us your trophy cabinet!