Utajuaje ukubwa wa timu kubwa?

Utajuaje ukubwa wa timu kubwa?

Comred Rage kuwaita MAMBUMBUMBU hakukosea kabisa mkuu [emoji120]
Luc kawaita Yanga nyani,alikuwa sahihi kabisa
FB_IMG_1625214394973.jpg
 
Yaani kishabiki kimoja cha mazembe kuwafariji kwamba wao ni timu kubwa wanadhani mashabiki wa mazembe wote ni wapuuzi kama wengine,wacheze mpira wasipende cheap popularity
Yule ni shabiki wa yanga aliyevaa jezi ya mazembe wanatakiwa wahoji Viongozi au makocha na wachezaji wa mazembe sidhani kama wanaweza kuiongelea timu inayotolewa kwenye mashindano na timu isiyojulikana kama river united
 
Rubbish
 
Ndio maana nimemdharau sana mleta mada kwa hoja ya kitoto kama ile halafu anajiona kuwa ns akili
 
Unatumia msuli Sana aisee [emoji1787][emoji1787]
Hebu twambie ni kiongozi gan wa TP Mazembe aliyesema kuwa Yanga ni timu kubwa, kma siyo huyo shabiki kwa mtazamo wake, tuwekeeni clip ya kiongozi yyte wa Mazembe ili iwe official kuwa wao ndo wamesema? Hata mi Kwa mahaba yngu na Man u, naweza toa comment kma hiyo na ikawa
 
Yaani kishabiki kimoja cha mazembe kuwafariji kwamba wao ni timu kubwa wanadhani mashabiki wa mazembe wote ni wapuuzi kama wengine,wacheze mpira wasipende cheap popularity
amesahau wakati ule wa Simba Super cup waliwaomba Mazembe kucheza nao wakakataliwa halafu wakawakubali Azam
 
Back
Top Bottom