Utakaa mkao gani hapa ukiwa ofisini kwa bosi wako?

Utakaa mkao gani hapa ukiwa ofisini kwa bosi wako?

Me too

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,388
Reaction score
9,333
FB_IMG_16554030372004213.jpg

umeshinda bonus ya billion 5 ,, siku unaenda ofisini kwa bosi wako kupeleka barua ya kuacha kazi utakaa mkao gani hapo?



mimi namba 3 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


karibuni wadau tuwaoneshe mabosi wetu ambavo tumechoshwa.na utumwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kauzi kabaya kichizi ila mkao namba 8 na 9 umenifurahisha sana, ila kwa upande wangu sina baya na boss wng coz kaniamin sana mpaka kunipa ajira hvy ntakaa 2 tu.
sasa km kabaya ilibidi ukae no 1
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom