Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dpozi la pesa๐๐
Kuna kesho.. Nikiacha kazi mahala, huwa siachi kwa kiburi. Nafuata taratibu zote zitakiwazo. Kuna kutamani kurudi ulipotoka kwa sababu ya hali ngumu. Nashauri watu wafanye haya ikitakiwa kuacha kaziView attachment 2263134
umeshinda bonus ya billion 5 ,, siku unaenda ofisini kwa bosi wako kupeleka barua ya kuacha kazi utakaa mkao gani hapo๏ผ
mimi namba 3 ๐๐๐๐๐
karibuni wadau tuwaoneshe mabosi wetu ambavo tumechoshwa.na utumwa.
mkuu sijakataa ushauri mzuri sana, ila tu let usume ndo umezipata kwa ghafla, jinsi utavokaa pia iko mikao ya adabu ukumbuke.Kuna kesho.. Nikiacha kazi mahala, huwa siachi kwa kiburi. Nafuata taratibu zote zitakiwazo. Kuna kutamani kurudi ulipotoka kwa sababu ya hali ngumu. Nashauri watu wafanye haya ikitakiwa kuacha kazi
1. Usiache kazi kwa notice ya masaa 24, hasa kama una nafasi ya juu hapo unapofanya kazi.
2. Hata kama ulifanyiwa mabaya wakati upo kazini ofisi fulani, usilipe mabaya siku unaondoka
3. Rudisha kila kitu kwa mujibu wa sera za kampuni yako
4. Usigombane na mtu kisa unaacha kazi. Hujui nani utakutana naye wapi
5. Nenda kazini mpaka siku ya mwisho.
NB: jua kuwa waajili huwa wanawasiliana. Na hata marefa huwa wanaombwa kutoa taarifa juu yako..!!!
Huo mkao unamkalia aliyekuwa bosi wako?mkuu sijakataa ushauri mzuri sana, ila tu let usume ndo umezipata kwa ghafla, jinsi utavokaa pia iko mikao ya adabu ukumbuke.
NB: nimeongelea mkao tu.
Kibabiloni siku ya kuacha kazi tu..!! baada ya hapo msoto wake utakumaliza, ukizingatia wengine wanauliza yaliyojiri ulikotokaNamba 7 ya kibabilon sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namba 8 nmeikubali ila namba 7 n ya kibabiloni zaidiiii[emoji41]mkuu no 2 hujaiona? na 8 nayo๏ผ[emoji23]