DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
If you want God to change your destiny make sure you live with God, saidia Masikini wenye uhitaji wa kweli ukifanya hivi hautokuwa miongoni mwa masikini Maisha yako yote.
Saidia wazazi wako wakiwa bado hai .
Hakikisha unaitunza Familiya yako vizuri .
Walipe wafanyakazi wako ujira mzuri
Hakikisha una heshimu mamlaka zinazo kuongoza
Kaa mbali na Uzinzi na ushirikina .
TOFAUTI na hapo hakuna ombi/maombi yako yatakayopokelewa
Unaishi bila kuwajali wazazi wako yaani unaishi Kama umekufa wakati haujafa hakika unakuwa umejitoa Katika upande wa Mungu moja kea moja