Utake usitake huu ndio ukweli, jiandae kisaikolojia

Utake usitake huu ndio ukweli, jiandae kisaikolojia

Mbaya zaidi nahisi kabisa mtu akinyang'anywa vyeti vyake vya shule alafu akapewa mtihani wa form four aurudie akiwa peke yake atafeli.... Samahani kwa kuhisi hivyo
 
Siku hizi elimu haina thamani mtoto mwisho form six atoe ujinga au form 4 halafu mfungulie biashara

Achana na mambo ya chuo
 
Lakini tatizo la ajira kisheria kimkakati kinchi linatatulika kama wakiamua.
Hofu ya walamba asali ni usiwaamshe waliolala
Kuita wengine walamba asali, huku wewe binafsi ukashindwa kuilamba ndicho kipimo cha akili yako na uwezo wako ilipofikia, why others win breads,and not me, Is my brain work well why I fail and remain blaming others what steps should I follow? Who would be helpful to me?
 
Tatizo kubwa lipo kwa wanafunzi wenyewe.

Elimu yetu hii kwa wanafunzi walio wengi haiwaruhusu kujua maisha nje ya shule. Yaani mwanafunzi mpaka anamaliza form six hajui mtaa ukoje, hajui ni course gani zina soko, sometimes hajui hata huko chuo ataenda kusomea nini. Shule imemshikilia kila kona ni kama vile anavuka level ghafla.

Sasa huyu mwanafunzi umwambie eti asiend form 5 aende vyuo vya ufundi, asiemde form 5 aende chuo, aisee hakuelewi kabisa anahisi unambania, hutaki afike chuo ale boom. Ni hawezi kukuelewa kabisa yani.
Kwa wengi wamekalili kua elimu ni hadi kufika chuo na ndo ufanikiwe.
 
Kuita wengine walamba asali, huku wewe binafsi ukashindwa kuilamba ndicho kipimo cha akili yako na uwezo wako ilipofikia, why others win breads,and not me, Is my brain work well why I fail and remain blaming others what steps should I follow? Who would be helpful to me?
Sio wote wenye Neema hio ya kutafuna kodi zetu kama umepata bahati ya kuwa kwenye level ya maamuzi ya utafunaji hongera.
 
kwa watz wa kizazi hiki cha sasa itawachukua muda mrefu sana kukubaliana na hii hali.

wanaijeria walianza kukubaliana na jambo hili miaka mingi iliyopita.

ndio maana ni kawaida kumkuta mnaijeria mwenye masters anaendesha taxi.

wanaija wengine ndio hawa wanaosumbua nchi mbalimbali kwa matukio ya utapeli wa kwenye mitandao. ni wasomi wenye degree/masters na Phd ktk fani mbalimbali.

pale nairobi kenya, nina rafiki yangu mkenya, ana degree ya science katika biochemistry kutoka nairobi university. alitafuta kazi mpaka akachoka. sasa hivi ni mwanakwaya kwenye kanisa moja la kilokole.
Kuwa mwimba kwaya hakukuzuii kufanya shughuli zingine na pia kwaya sio ajira naona mfano wako hauendan kabisa.
 
Wazaz tuwasomeshe watoto ila pia tuwaandalie kitu cha kufanya baada ya shule,yaan wazaz tuwe na miradi ambayo watoto watakuja kuisimamia baada ya shule au tuwaandalie mitaji baada ya shule
 
Back
Top Bottom